Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Hivyo value yake ni kubwa sana, kuspend muda na watoto na kutengeneza kumbukumbu nao ni vitu ambavyo havitafutika maishani mwao. Unafanya vizuri sana babu kijana.Sijui kama ni vidogo ama vikubwa
But huwa nasikia raha kucheza mpira pamoja na vitoto vyangu ama kushindana kucheza game pamoja kwenye simu.
Likizo hii nilitengeneza minati nikawasha gari tukaenda kuwinda Ndege huko mtaani
Furaha nyingine kwangu, ni kusafiri
Iwe kwa Ndege/treni/gari n.k
Ndiyo maana simalizi Mwezi bila kusafiri
Kwenye kusafiri tuko pamoja, japo sina hiyo flexibility ya kusafiri kila mwezi 😅
