Kule ulipokua unajigamba 😎
Vipi kamyweso kamekolea au umemaliza?
You and me both, mimi hapo na nipike niko naked, nile nichill huku mwili umejiachia - naenjoy sana.Kushinda ndani bila kuvaa nguo yoyote ( naked) yaani nahisi mwili unarelax kabisa.
Haya nimefuta makorokoro yako 😂 !Kule nimeachana napo hakuna faida 😆
Haya nimefuta makorokoro yako 😂 !Kule nimeachana napo hakuna faida 😆
Tena nikimaliza kula napenda nilale chini kabisaaa very naked basi naona kama nimemaliza maisha yote yangu🤣🤣🤣🤣You and me both, mimi hapo na nipike niko naked, nile nichill huku mwili umejiachia - naenjoy sana.
Hapo na kagenye kambaaalii kanakujia sio?Tena nikimaliza kula napenda nilale chini kabisaaa very naked basi naona kama nimemaliza maisha yote yangu🤣🤣🤣🤣
Ila Maka, replies zako huwa zinanikosha sana 😅😍1. Kumpa kitu bimkubwa wangu aiseee, kuna karaha huwa nakapata, kuliko kale ka kumpa mke wangu...
2. Nikienda uwanjani kucheza ball, baada ya mpira akatokea mtu kunidadisi, kama sasa nacheza hivi kwenye ubora wangu nilikuwaje? Kipi kilifanya nisiwe mchezaji mkubwa, huwa nafurahi saana kujibu swali hili.
3. Kumpiga mtu KENDE, unamaliza aidha anakimbilia maji, ama usingizi unampitia palepale, ama akiinuka kwenda chooni anapepesuka ama kubwa kuliko ile ye kaishaomba pooo, we unachomoa NDONGA bado iko KIDEDEA, ye kuna kimguno fulani anakitoa kisha anaweza kusema utaniuwa 😄
Ama baada ya game anajikuta anaropoka tu "wewe, hatari"
4. Kumgegeda mtu huku natizama kwenye kioo.
5, niende mazoezini, nirudi nioge, nitulie niwe nakunywa juisi kuna kaburudani kanakuja.
6. GOMA lolote la zamani, linicheki liseme limemisi zile BILINGE BILINGE BAYOYO, moyo huwa unatabasamu wenyewe.
Vingine siwezi kumbuka haraka haraka, ila hilo la kukuta pesa uliylisahau huwa naziotea sana
Nini Lucha?
Roho safi, inapendeza sana!Pale ninapotoa msaada kumsaidia mtu mwenye uhitaji,hua najihisi nafsi imesuuzika kabisa na kua na amani.
Nmependa vyote ulivyosema😋😋Nini Lucha?
Hebu sema vya kwako!
Sawa sawa, kunywa kistaarabu!Ntaangalia
Nice 👌⚽
Same, yani nijichanue hapo, niscroll kwenye simu peacefully, au nipitiwe kausingizi au niangalie movie.Tena nikimaliza kula napenda nilale chini kabisaaa very naked basi naona kama nimemaliza maisha yote yangu🤣🤣🤣🤣
Ni kweli madam nitumie hata pesa ya kula basiMbona kama maisha yenu ni magumu sana au wewe umeyapatia 😅😆