Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Haaa haa kumbe siko peke yangu, ila mimi napenda kukaa nje kwenye migahawa na rafiki zangu na kuangalia watu wanaopita.
Mkuu napenda sana, jana kuna visichana vigen vilikuwa vinapigana picha na kuoneshana nguo za ndani.

Kuna siku mwanamke alikaa jirani na dirisha langu kwa nje anachat, nikachukua simu yangu nikawa nazoom screen ya simu yake inajaa kwemye screen yangu, naenjoy anavyochatishana upupu
 
vitu vinipavyo nipa raha daily ni ku crack system, coding ( automation). Ninge ku uwa na nguvu za kiume na ingekuwa inasimama ningeongeza kuyomba ila ndio ivyo 🫩🫩.. Na kusikiliza hii ziki zangu za daily kama hizi kila jioni

Nyamwi255 nimekumiss jamani, jamaa kakubana sana 😎
 
Mkuu napenda sana, jana kuna visichana vigen vilikuwa vinapigana picha na kuoneshana nguo za ndani.

Kuna siku mwanamke alikaa jirani na dirisha langu kwa nje anachat, nikachukua simu yangu nikawa nazoom screen ya simu yake inajaa kwemye screen yangu, naenjoy anavyochatishana upupu
Wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo ya watu 😅
 
vitu vinipavyo nipa raha daily ni ku crack system, coding ( automation). Ninge ku uwa na nguvu za kiume na ingekuwa inasimama ningeongeza kuyomba ila ndio ivyo 🫩🫩.. Na kusikiliza hii ziki zangu za daily kama hizi kila jioni
View attachment 3481634
View attachment 3481633
Kijana bikra una mahangaiko sana, inabidi tuiombee hiyo chululu yako isimame uyombe la sivyo hapa ulipofikia utadata 😂
 
Back
Top Bottom