Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

Nilioa binti yake akiwa na mimba ya miezi mi5. lakini bado tukaachana kutwa kuchwa wazazi wanapiga kupeleleza kama namnyanyasa binti yao.

na bado wanadai mahari kwa nguvu

mwanamke mwenyewe kaniugulia ndani toka afike na kibendi chake mpaka kinafikisha miezi tisa ni kuugua tu.

niliuguza wee huku nimewekewa VAR na wazazi kubabakeπŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅

nikaona ya nini mimi, nikamuacha december 4 2022, akiwa anakaribia kujifungua. akarudi kwao baada ya two weeks akajifungua

wazazi wanamwambia binti yao anipigie simu kuomba matumizi dadekπŸ–•πŸ–•

Hii ni picha ya Ultra Sound, tulifikishana hadi huko maana kila siku tumbo limekaza kama chungu.
 
Njooo kwangu mimi, chochote utakacho nitakupa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wana mapito aisee
 
Nilitoa Figo 😁😁
 
Wee jasiri, unaoaje binti mwenye mimba ya mtu mwingine? Au ndio roho ya huruma?
 
kutunywesha chai yenye tangawizi mchana jamani sikututesa jamani.

Mwanamke hata akimnunulia mwanaume socks tu utamsikia "Bila mimi usingefika hapa" leo hii ati mwanamke akamjengea nyumba wazazi wa mwanaume ?!!

Punguza kidogo tangawizi mkuu chai imekua kali sana.
 
Nikki ali-msupport Mama mkwe lakini wapi.
 
One thing, unajua kupenda.
 
Rola Alexander
 
I wish ningepata mwanamke kama wewe.

Walaai Tungekuwa matajiri.

Napenda sana wanawake wenye tabia kama yako

Japo mnakuwa na madhaifu yenu na nyie
 

Mimba ilikuwa yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…