Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Hii iko vizuri! Actually mimi nafuga wa kienyeji na nina mayai kiasi cha trei 1 kwa siku sina wateja. Bei yangu ni 12,000/- kwa trei. Bado suala la packaging ni issue kwangu kwani sijui nitapata wapi hizo trei ndogondogo
 
hii iko vizuri! Actually mimi nafuga wa kienyeji na nina mayai kiasi cha trei 1 kwa siku sina wateja. Bei yangu ni 12,000/- kwa trei. Bado suala la packaging ni issue kwangu kwani sijui nitapata wapi hizo trei ndogondogo

mkuu kwa huku bongo sijui kama zinapatikana, ila kwa nairobi kuna kampuni moja huwa inatengeneza hizo trey ndogo ndogo ngoja nikipata contact zao nitawawekea humu ili mkontact nao msikie wanasemaje.
 
aisee kwa kweli nashukuru sana kwa ushauri wako.
nitarudi tena kuandika kwa ufasaha zaidi kuhusu hoja zilizotolewa hapa
 
Mkuu komandoo big up sana! Post yako imetulia.
 
hongera sana
ni kweli sasa tunahitaji umoja ili kuweza kushika soko, kama uko bunju basi we nenda bagamoyo ulizia wakala wa mayai ya jumla huwa anachukua hata tray 300 na kulipa cash hapohapo ila nenda kaunge biashara kwanza usiende nayo, Tray zako unarudi nazo.

Hizi tray ndogo zipo tayari ulizia tu, ukipata nenda supermarkets siku hizi nyingi tu watajie kiasi cha kuanzia tray 200 - 300 mfano kwa kila wiki nk kisha ulizia bei zao ila kwa hawa jiandae kuacha tray hapohapo.

Waweza kwenda interchick pale ni mwezi uliopita walikutana wafugaji ila mie sikwenda nilibanwa kazini ukiomba kuonana na meneja kwa tip kidogo anaweza kukupa idea mbalimbali. Bei ninazojua ni 5500 hadi 5800 kwa jumla na 6000 rejareja kwa tray.
 
Unacho sema ni sahihi kabisa but ishu haiko katika kuungana tu. kama utakuwa umenisoma vema ni kwamba kilichopo ni kubadilika completery.

- Hivi kama south africa wanauza mayai Tanzania je c c hata kuuza kwenye mikoa yetu mingine na hata nchi za jirani haiwezekani? Ni nini kinacho fanya isiwezekane?

- KUHUSU HUYO MTU WA BAGAMOYO ANAE NUNU KWA BEI YA JUMLA HATA TREI 300 JE
1. MNAKUWA MMESAINI NAYE CONTACT YA KUKULINDA WEWE NA KUMLINDA YEYE?
2. JE UKIPELEKA SIKU USIMKUTE UTAFANYAJE WAKATI HUNA CONTRACT NAE?
3 JE UKIPELEKA TREY 300 AKACHUA 10 TU UTAMFANYAJE?
4. hilo soko unauhakika ni la kudumu? au ni mtu anajitokeza nakusanya wiki mwezi akishaona vipi anakula kona?

- SIKILIZA NI LAZIMA TUBADILIKE, TUFANYE BIASHARA KISOMI, TUSIPENDE VITU VYA RAHISI SANA NA VYA SHORTCUT, MAKE WATANZANIA TUNAPENDA VITU VYA SHORT CUTSANA,

- NI BORA UTUMIE MUDA MWINGI KUJIPANGA KUTAFUTA SOKO LA UHAKIKA NA UNAPO KUJA UNAKUJA NA SOKO LA UHAKIKA 100% SIO SOKO LA WIKI MOJA/MWEZI MMOJA HALA FU BAADAE UNAANZA HADITH ZINGINE,

- MIMI NILIBAHATIKA KWENDA KENYA NA KUKUTANA NA BAADHI YA HATA WAZALISHAJI WA KUKU, MAZIWA NA MAZAO MENGINE, NI WAAMBIE UKWELI KENYA HAKUNA MTU ANE FANYA BIASHARA KAMA TUNAYO IFANYA SISI HUKU,

- MKENYA UKIHITAJI KUFANYA NAE BIASHARA HATA YA KUSAMBAZIA TREI MOJA YA MAYAI KILA SIKU NI LAZAIMA MUINGIE NAE CONTRACT YA KUMLINDA YEYE NA YA KULINDA MTEJA WAKE. NA UKIKATAA KUNUNUA NAKUSHITAKI KWA KUMSABABBISHIA HASARA NA ANALIPWA, NA YEYE AKISHINDWA KUSUPPLY ANAWEZA SHITAKIWA VILE VILE

HUU MFUMO WA BIASHARA TUNAO ENDA NAO SIO SUSTAINABLE HATA SIKU MOJA, NI WA MUDA TU, NA HAUTATUFIKISHA MBALI HATA SIKU MOJA, HIZO NI MIFUMO YA BIASHARA ZA MIAKA YA 90 KURUDI NYUMA.

- na haya ndo mambo yanawaumiza hata wakulima wetu, jaribu kutafuta mnunuzi/wanunuzi wa uhakika na ingia nao contract kabisa na akikataa contact tanbua huyo ni msanii tu
 
mkuu komandoo mawazo yako ni mazuri sana bu kwa kuku 1000 inamana kwa cku ni mayai 1000x0.8= 800 minimum 80% wanataga kila cku yani tray 30, ambazo kama una soko la kawaida kat ya lile la uhakikia na lisilo la uhakika then izo value adding itakuwa gharama sana kwa mkulima mdogo. apo ni lazima tuchukue wazo la wakulima wadogo kuungana na kuwa na central packing place.
Otherwise i have taken your point and i will make use of it as well as my business expands,
MKUU HONGERA SANA KWA JITIHADA ZAKO, MUNGU AKUSAIDIE ZAIDI NA ZAIDI.

- KUHUSU BIASHARA YA MAYAI, NI KWELI KABISA KUNA DEMAND NA KUNA COMPETITION KUBWA SANA MKUU, WAZALISHAJI NI WENGI SANA NA MASOKO NAYO NI KAMA HIVYO NI MENGI.

- MKUU UFANYE NINI SASA? NAKUSHAURI UFANYE JAMBO MOJA LA MSINGI SANA NA JARIBU KUJIBU HAYA MASWALI,

1. JE KUNA KITU CHA ZIADA KATIKA HAYO MAYAI YAKO YAANI UMEYAONGEZEA THAMANI?
2. JE WANUNUZI WAKO NI WA KUAMNIKIKA? MMENGIA NAO CONTACT NA KUSAINI MOU?
3. JE KWA NINI WATU WANUNUE MAYAI YAKO NA SI MAYI YA WATU WENGINE?
4. UKIPATA SOKO NA KUKAWA NA SUPPLY WENGI WA MAYAI YA KIENYEJI UTAWEZAJI KU KOMPITI NA HAO WENGINE?

- MKUU JARIBU KUTAFUTA NJIA YA KUYAONGEZEA THAMANI HAYO MAYAI YAKO HASWA KWENYE PAKING. USIISHIE KUWEKA KWENYE TRY NA KWENDA KUTAFUTA MTEJA.
- TAFUTA VIFAA VYA KISASA VYA KUPAKI MAYAI KIASI KWAMBA MTU ANAWEZA BEBA BILA KUHOFIA KUPASUKA KWA MAYAI.
- UKISHA PATA PATA HIYO PACKING NZURI YA KUWEZA KUPAKI HATA MAYAI MATANO MATANO, JARIBU KUTAFUTA SOKO KWA KUZUNGUKIA SUPERMARKET MBALAMBALI NA MIN SUPRTPARKET PAMOJA NA MADUKA YA REJAREJA, MKUU NINA UHAKIKA ASILIMIA 100% UTAPATA SOKO ZURI SANA ENDAPO UTAKUJA NA AINA MPYA YA KUPAKI MAYAI,

- WOTE TUSIISHIE KUPAKI KWENYE TRY YA MAYAI 30, TUJE NA AINA MPYA AMBAZO HATA HUKU KWETU SI NGENI SANA KWA SUPERMAKET KUBWA KAMA SHOPRITE,
eggs-egg-box_%7EIS252-023.jpg

027018.jpg

015808.jpg

k2827966.jpg

- MKUU JARIBU KUPAKI IDADI NDOGO NDOGO KAMA HII MAKE KUNA WATEJA HAWAHITAJI KUNUNUA MAYAI 30 TREI NZIMA KUTOKANA NA MAISHA YAO.

- SI KWAMBA HAYA MADUKA MAKUBWA YA MAKUBURU HAYATAKI KUNUNUA PRODUCT ZA WABONGO ILA NI AINA YA PACKEGING ZOTE NDO TATATIZO.

- TUNAISHIA KULALAMIKA KWAMBA WANAAGIZA MCHICHA TOKA SOUTH AFRICA, TUKIZANI TUNAWEZA WAPEKEKEA MCHICHA UKIWA UMEFUNGWA MAFUNGU MAFUNGU NA KAMBA ZA MIGOMBA WANUNUE.

INATAKIWA TUBADILIKE HASA KWENYE PACKEGING ZETU, TUSIISHIE KULALAMIKA NYAMA INAAGIZWA TOKA SOUTH AFRICA, HAYA MADUKA YANA MAINTAI QUALITY HAYA WEZI ENDA BUCHANI PALE KARIAKOO NA KUNUNUA TU NYAMA NA KUPELEKA MADUKANI MWAO,

MKUU HUO NDO MCHANGO WANGU,

Nafurahi kupata maarifa zaidi kuhusu biashara hasa swala la kuwa na contact kwani kibongo bongo hili swala si wengi wanolifuatilia. KOMANDOO naona una ujuzi zaidi kwenye haya mambo naamini nitajifunza mengi hapa
 
Habarini hapa Jamvini.
Samahani, nikuwa nauliza kama kuna mtu anafahamu soko la mayai ya kuku wa kizungu kwenda nje ya Tanzania.
Asanteni.
 
Mkuu hongera kw aujasilriamali.
- MKUU KUNA VITU UNATAKIWA UVIWEKE SAWA.
1.
UNATAKA KUUZA NCHI IPI?
2. JE NI NDANI YA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKI?
3. Ni ndani ya jumuia ya SADC?
4. Ni jumuia ya Ulaya?
5. Na marekani?
6. Ni mashariki ya kati?
7. Una mayai kiasi gani? make wenzako wanaoingiza Tanzania mayai unkuta mtu ana kuku laki 5.
8. Mkuu usije ukawa una kuku 100 halafu ndo unataka ku trade International

-Mkuu ku trade international sio kitu rahisi kabisa,na kina hitaji mikakati mirefu sana na procedure za kufa mtu. mim nakushauri uza kwanza ndani ya Tanzania, soko la Tanzania likijaa ndo uanze kuangalia kwenda East Africa comunity.

- Soko la ndani bado ni kubwa sana tatizo ni mikakati na mipango ndo hakuna. Watanzania tunapenda Biashara sana But ukimwambia mtu angalau awe anatenga hata 2% ya pato lake kwa ajili ya market research hamna mtu anae taka.

- Mbona south Africa wanauza mayai Tanzania? Umeisha wafuata waagizaji wa mayai kutoka south africa na Kenya wakakwambia sababu za wao kuagiza nje ya nchi?

- Mkuu kaa chini fanya tafiti kuhusu soko la ndani, naamni lipo tena kubwa sana.

-
KUUZA NJE YA NCHI MANAAKE NI KWAMBA WEWE SOKO LA NDANI UMEISHA SUPPLY HADI LIMEJAA SO UNATAKA KWENDA KUONGEZA SOKO NJE YA NCHI. MKUU WATU HAWAANZI TU PRODUCTION NA KUANZA KUUZA NJE YA NCHI. SOMA MAMBO YA INTERNATIUOINAL TRADE UTAELEWA ZAIDI
 
Fuata ushauri wa komando hapo juu na mimi ntakupa offer ya tangazo kwenye blog yangu nadhani utafurahi na utaweza kutoboza
check link hyo
GSHAYO
 
Fuata ushauri wa komando hapo juu na mimi ntakupa offer ya tangazo kwenye blog yangu nadhani utafurahi na utaweza kutoboza
check link hyo
GSHAYO

asante mkuu nitakutumia info zangu kwa ajili ya Biashara na mimi nina biashara nataka kuitangaza
 
Nashukuru sana kwa ushauri!.
Soko la ndani halitabiriki kwani nimejaribu kwenye hotels kubwa, wa mama wauza mayai, wauza chips na sehemu nyingine zinazohitaji mayai (kama 25 trays kwa siku), wameniambia wenyewe wanafuga kuku wao. Hapo nikaona inanishinda kwani soko na bei hazitabiriki.
Katika kuulizia, nikaambiwa kuna Mzee mmoja ana-export mayai ila inabidi mtu awe na high and consistent production capacity.
Sasa ndio nikawa najaribu kuulizia hapa jamvin kwa aliyekwisha msikiai.
Sikumaanisha mimi nataka niwe-exporter, NO!.Nataka ku-damp kwake (+ kufunga hesabu) then yeye ataendelea na vibali and other logistical issues kwani ndiye mzoefu kwenye exportation ya mayai.
So, soko la ndani yawezekana kabisa haliko saturated kama unavyosema ila lina zengwe na other non-tariff barriers zisizotabirika.
Obonyo!.
 
Nimekupata Dio, Nashukuru.
Basi ntakutafuta mwanzoni wa 2012, Mungu akitujalia.
Obonyo!.
 
nashukuru sana kwa ushauri!.
Soko la ndani halitabiriki kwani nimejaribu kwenye hotels kubwa, wa mama wauza mayai, wauza chips na sehemu nyingine zinazohitaji mayai (kama 25 trays kwa siku), wameniambia wenyewe wanafuga kuku wao. Hapo nikaona inanishinda kwani soko na bei hazitabiriki.
Katika kuulizia, nikaambiwa kuna mzee mmoja ana-export mayai ila inabidi mtu awe na high and consistent production capacity.
Sasa ndio nikawa najaribu kuulizia hapa jamvin kwa aliyekwisha msikiai.
Sikumaanisha mimi nataka niwe-exporter, no!.nataka ku-damp kwake (+ kufunga hesabu) then yeye ataendelea na vibali and other logistical issues kwani ndiye mzoefu kwenye exportation ya mayai.
So, soko la ndani yawezekana kabisa haliko saturated kama unavyosema ila lina zengwe na other non-tariff barriers zisizotabirika.
Obonyo!.

- mkuu basi wewe ndo ulikosea kwenye thread yako, make ulisema unataka soko la nje.

- soko la nje lipo ila mkuu ni more complicated kuliko hata la ndani, tofauti na bongo nchi za nje huwa wana mizwenge mingi sana, na inategemea unauza nchi gani. Kuna vitu kama.

1. Afya, hayo mayai lazima yapimwe na watalamu wao kuona hayawezi kuwadhuru watu wao.
2. Kodi kubwa sana ili kulinda soko la ndani.

- na mkuu ni kuhakikishie ukisema unataka ku export au kutafuta mtu wa ku export umuuzie inabidi umuuzie bei ya chini mno, kwa sababu kuna mambo yafuatayo.

1.transportation cost
2. Kodi za huko anako peleke na kazalika.
3. Huwezi muuzia kwa bei ya bongo na yeye akaenda kupata faida.
- yale mayai ya south africa huuzwa bei sawa na hata saazingine bei pungufu ya hapa tanzania kwa sababu wale watu production yao ni kubwa sana na cost of production ziko chini, na si dhani kama wanatozwa kodi na serikali yetu ili kulinda wazalishaji wa ndani.

- but mkuu wewe jaribu ku export kwenda south africa uone. Kunakodi na procedure za kufa mtu.

Mimi nazani wewe hujapambana, pambana na soko la ndani kwanza na nuatakiwa uwe na strategies nying sana, utafanikiwa tu.

Pale sinza karibu na mwika kuna jamaa ana frame yake anauza mayai tu, anaiita Mayai centre... Anauza mayai mpaka wateja tunachanganyikiwa na yeye anayatoa mombasa kenya... Sasa pamoja na usafiri na kila gharama anazopata bado anauza bei sawa na hapa dar. Sasa jiulize huko anayanunua kiasi gani.

Mkuu tunapozungumzia soko la ndani haimaanishi tu dar es salaam. Mi nilienda masasi nikakuta mayai ni adimu sana na watu wanayanunua kwa kila nguvu... Sasa fanya utafiti mikoa gani haina wafugaji ukafungue duka/maduka yako ya mayai, ila hakikisha una minimum tray 1000 za kuanzia, na yasiwe yamekaa saaana...

Tatizo watanzania wa mjini tuko so Dar minded, tunawaza Dar tu, dar dar kama vile dar ndio world trade centre??? LoL, mikoani kuna opportunities sana, mkuu tutembee tuone...
 
Mkuu unachosema ni sahihi kabisa.
soko lipo ila tatizo ni market research, hatutaki kuingia ghalama kutafuta soko,
- Na kuhusu huyo mtu anae toa mayai Mombasa kenya na kuja kuuza bei sawa na huku ni sahihi kabisa, kwani hata wale wanao toa South Africa na kupandisha mayai kwenye ndege na bado wanakuja kuuza bei sawa na bongo. Kinacho takiwa ni kuwa na uzalishaji mkubwa ambao utapunguza cost of production, then upunguze bei ya kuuzia
 
Back
Top Bottom