Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijna mdogo tu nimemaliza kidato cha sita nafikiria kufaya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji.

Bila shaka nitaanzia katika ufugaji wa kuku wenyewe, kiasi gani cha mtaji napaswa kuwa nacho na soko lake lipo vipi
 
Andaa kama milioni 3 au 4 kwa kuanzia pamoja na kujenga mabanda
 
biashara ya kuuza mayai cyo lazima hadi uanze na kufuga kuku,mayai yapo kibao kwa wafugaji wa kuku hivyo kama unataka kuuza mayai kitu cha msingi ni mtaji wa kununua hayo mayai....unaweza kuanza na mtaji mdogo hata wa Tsh 100,000=( laki moja)
 
Kwa anaehitaji mayai ya kisasa yapo yanapatikana kwa wingi, ukihitaji hata tray 300 kwa siku, bei ni nafuu mno, 7500 kwa tray,
Nipo Dodoma mjini. Kwa anaehitaji anione pm
1471276495095.jpg
 
Back
Top Bottom