Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Wadau msaada,

Nimeshakodi fremu na tayari nipo tayari kwa biashara nahitaji kujua kuhusu biashara hii wapi nitapata hii bidhaa kwa bei nzuri.

Ahsante.
 
Mmi ninayo singida yanjano ya chotara. Bei ni 9999/= bei ya shambani ila wewe utauza kwa 12000. Ni biashara nzuri ukiwa mjanja na jaina mikopo mikopo hii.
 
Mmi ninayo singida yanjano ya chotara. Bei ni 9999/= bei ya shambani ila wewe utauza kwa 12000. Ni biashara nzuri ukiwa mjanja na jaina mikopo mikopo hii.
Mimi np Dar best,itakuwaje sasa!
 
1471635544270.jpg
1471635555230.jpg
1471635561940.jpg
1471635584280.jpg
 
Dodoma kuna mchina anayafyatua mayai kiwandani,tena anasambaza Kwa rav4 yenye naomba za ubalozi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
unauza bei gani na yanapatikana mkoa gani ili iwe rahisi wadau kupata huduma hiyo
 
Naomba kujua namna ya kufanya biashara ya mayai kutoa singida nakuleta Dar... jinsi ya kupaki bila kuvunjika,
 
Jamani nimekosea kupost nn mbona sipati maoni yenu???......and naongeza maswali nitajuaje yai nzima na bovu ..... kuna anayejua garama za usafirishaji kutoka singida mpaka Dar mfano nasafirisha trai 10?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mm njia nayofaham n ya kuweka kwenye pumba za mpunga......hata yakae kwenye but hayavunjik at a moja
 
Back
Top Bottom