kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Trey nauza sh. Elf 13 ya kienyeji na sh.7000 ya kisasa Niko mbeya karibu mteja
Niletee tray 2 ya kisasa..nipo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trey nauza sh. Elf 13 ya kienyeji na sh.7000 ya kisasa Niko mbeya karibu mteja
Sarcasm right?!!Niletee tray 2 ya kisasa..nipo dar
Sarcasm right?!!
Hawa ndio watanzania jaman!! Kazi kaziNiletee tray 2 ya kisasa..nipo dar
[emoji106]kama great thinker nimebuni iv apa dsm mayai najumua 7000 kila trei af nauza 9000 mana saiv DSM mayai yamepanda kidogo alaf napita katika vijiwe vya chipsi mbalimbali vingine ambavyo vipo mbali na masoko kabisa naingia ob na watu nakua nakupa trei mbili au moja alaf nakuja kuchukua pesa baada ya siku mbili nakua napata faida ya 2000 mara 40 ndan ya siku mbili inakua 80000 na mtaj wa trei 40 ni 280000 kwa mwez ni 1200000 ndan ya mwaka ni milionaire....na usafiri kuna mchiz ananiuzia lipikipik
Sent using Jamii Forums mobile app
ilo nishalichek ndo nikasema siku 2/3 ndo napita kuchukuatatizo wakianza kukuzungusha aisee
na lazima uwe nalo mana unakua na watu wengi sana na pia mpka wa madukani unakua unawauzia hii kaz utaonekana foolish kwa wasio ijua ebu piga mahesabu ukafanikiwa kugawa trei 100 ni laki mbili in 3 daysmkuu ungekuwa na kidaftari kabisa akichukua anasaini na akilipa anasaini
Duh hizo hesabu...kama great thinker nimebuni iv apa dsm mayai najumua 7000 kila trei af nauza 9000 mana saiv DSM mayai yamepanda kidogo alaf napita katika vijiwe vya chipsi mbalimbali vingine ambavyo vipo mbali na masoko kabisa naingia ob na watu nakua nakupa trei mbili au moja alaf nakuja kuchukua pesa baada ya siku mbili nakua napata faida ya 2000 mara 40 ndan ya siku mbili inakua 80000 na mtaj wa trei 40 ni 280000 kwa mwez ni 1200000 ndan ya mwaka ni milionaire....na usafiri kuna mchiz ananiuzia lipikipik
Sent using Jamii Forums mobile app
almost more than one milion,na ndo maana zinaitwa milionsDuh hizo hesabu...
Hivi ili uwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianza na mahesabu hayo hufiki popote bilive or not.kama great thinker nimebuni iv apa dsm mayai najumua 7000 kila trei af nauza 9000 mana saiv DSM mayai yamepanda kidogo alaf napita katika vijiwe vya chipsi mbalimbali vingine ambavyo vipo mbali na masoko kabisa naingia ob na watu nakua nakupa trei mbili au moja alaf nakuja kuchukua pesa baada ya siku mbili nakua napata faida ya 2000 mara 40 ndan ya siku mbili inakua 80000 na mtaj wa trei 40 ni 280000 kwa mwez ni 1200000 ndan ya mwaka ni milionaire....na usafiri kuna mchiz ananiuzia lipikipik
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ukweli ambao wengi hawataki kusikia Kuna msemo wetu *INALIPA*Ukianza na mahesabu hayo hufiki popote bilive or not.
Lengo lako wewe ni kuwa milionare?
Hizo hesabu zikigoma wiki kama 3 hutaonekana kwenye hiyo biashara make lengo lako kuu ni kuwa bilioanare.
Kupata pesa ni matokeo ya wewe kukidhi shida za jamii.
Kinacho paswa ni kuangalia kuna chalange gani au kuna mapungufu yapi kwenye usambazaji wa mayai na badili kuwa furusa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu ndo mana nikaleta apa jukwaan_bt sio km na lengo la kua milionaire nimeweka tu mwishon km kufanya vijana wafikirie zaidUkianza na mahesabu hayo hufiki popote bilive or not.
Lengo lako wewe ni kuwa milionare?
Hizo hesabu zikigoma wiki kama 3 hutaonekana kwenye hiyo biashara make lengo lako kuu ni kuwa bilioanare.
Kupata pesa ni matokeo ya wewe kukidhi shida za jamii.
Kinacho paswa ni kuangalia kuna chalange gani au kuna mapungufu yapi kwenye usambazaji wa mayai na badili kuwa furusa.
Sent using Jamii Forums mobile app