Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Rubbish!...hayo yote ni maoni yako na yatabaki vile vile...maoni yako......upuzi!.
 
Yani umeingea kweli na izo tabia nazichukia sana kwa wanaume
 
Mtoto wa kiume usiwe mmbea, ndio maana una koromeo. Hizo ni tabia za magay.
Mtoto wa kiume usijifanye unamjua mtu sana, kushobokea utali.........
 
Ni kweli boss kuuliza unafanya kazi wapi' huo ni umbea acha mwenyewe atakueleza unataka ujue ili iweje
 

Kiukweli hakuna kitu huwa kinakikera kama mtoto wa kiume kunitumia meseji afu ananiita 'wangu'! natamani nimuoe kabisa.
 
Mtoto wa kiume hapangiwi muda wa kurudi nyumbani na mke wake au mchumba wake anaeishi nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…