Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

1. Kutoka na washkaji huna hela (na hutoi taarifa kama umechacha) muda wa kulipa bili unacheka cheka

2. Kutegea kulipa bili kila siku hata kama una hela

3. Kupenda kumsifia demu wako mbele ya washkaji, eti ni mzuri, kazi anaiweza; unless ni wa mpito tu

4. Kugombana na demu wako afu unamponda mbele ya washkaji, mara hajui mapenzi, anaomba omba hela, nimemfumania etc; kausha, maana siku ukirudiana naye wewe ndiye utakayeona aibu

5. Kutotunza siri, mshkaji anakusimulia siri unaenda kutangaza

6. Kuwaponda washkaji zako kwa mademu zao

namba moja na mbili izo hatari.
 
1. Kutoboa sikio / masikio.
2. Kuchana nyusi .
3. Kufuga kucha moja .
4. Kupaka Lip Bam .
5. Kupaka poda.
6. Kujifutafuta kila dakika /
7. Kuoshwa miguu...
 
1.kusikiliza taarabu za kina mzee yusuph zile.

2.kumwambia mwanaume mwenzio umemmis(ukinambia mimi nakupiga na jiwe)

3.kuvaa suruali za kijani,njano au pink tena zile za kubana.

4.kuvaa milegezo
5.kumwita mwanaume mwenzio 'wangu',dear,mpenz.

5

wangu, mpendwa hata mimi nakupa za uso
 
Dooh. Basi kama ni ivyo mbona wanaume wote watakuwa ovyo. Ila mimi piga ua napenda sana taarabu na hasa nyimbo za mzee yusuph. Ila ni mwanaume rijali. Asikwambie mtu taarab raha na hasa kama umekulia mikoa ya pwan kama dar.
 
Dooh. Basi kama ni ivyo mbona wanaume wote watakuwa ovyo. Ila mimi piga ua napenda sana taarabu na hasa nyimbo za mzee yusuph. Ila ni mwanaume rijali. Asikwambie mtu taarab raha na hasa kama umekulia mikoa ya pwan kama dar.

na vidole unaweka juu, huku umebetua midomo, unazungukazunguka huku unajiangalia makalio.. BASI UNATISHA SANA.
 
kuongea uku unanitikisatikisa kichwa na mabega...totally gay.
 
Jamaa kajaza mbaya bonge baunsa,anakuletea soo!
Mtoto wa kiume hapo ukimbie au mtandikane?
 
kuwa na kidaftari umeandika mashairi ya nyimbo za kina celine dion na shania twain alafu una imba imba kuonyesha unazijua sana.
 
Back
Top Bottom