mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
- Thread starter
- #41
1. Kutoka na washkaji huna hela (na hutoi taarifa kama umechacha) muda wa kulipa bili unacheka cheka
2. Kutegea kulipa bili kila siku hata kama una hela
3. Kupenda kumsifia demu wako mbele ya washkaji, eti ni mzuri, kazi anaiweza; unless ni wa mpito tu
4. Kugombana na demu wako afu unamponda mbele ya washkaji, mara hajui mapenzi, anaomba omba hela, nimemfumania etc; kausha, maana siku ukirudiana naye wewe ndiye utakayeona aibu
5. Kutotunza siri, mshkaji anakusimulia siri unaenda kutangaza
6. Kuwaponda washkaji zako kwa mademu zao
namba moja na mbili izo hatari.