Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Mtoto wa kiume USISUKE NYWELE. USIVAE MLEGEZO. USIVAE HERENI. USIJICHUBUE. UKIINGIA CHUMVINI USISEME KWA WATU. USINYWE VIROBA. USIPUMULIWE. USILE CONE. usimbusu mama mzazi.
 
Hyo ya kumpamimba dem alafu unasema bahati mbaya nimeipenda sana coz ndo tabia ya mijanaume isiyojitambua
 
Umefanya la maana kusema mtoto wa kiume, ungesema mwanaume ungekosea.
 
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa na tamaa na simu, mara Iphone mara galaxy s5, mtoto wa kiume yake nokia tochi
 
yaani ukiona mwanaume anaangalia tamthilia ujue huyo sio huyo.
 
Mwanaume kukatika katikaa kwenye mzikii lol tabia mbayaaa

Kweli aise, spendi kuona mwana anakata viuno kwenye mziki, hasa hivi vya bongo fleva vinanichefua, mwanaume hawi hivo, unakatika ili iweje, mwanaume mwenzio akuone unajua kukata ili akutaman..lol!
 
Back
Top Bottom