Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

 
Napenda sana rubics cube kila nnapokwenda siiachi nnapopata ka gep tu huwa nakomaa na pazo yangu

napenda Jamii forums
kupika pia ni hobi yangu Maana sipendi kula chakula migahawani wala sipendi fastfud maana znamaliza sana pesa
napenda kukaa ndani mwenyewe bila kuchangamana na watu.
 
Kama tujuavyo ugali wa Dona huwa unachagua mboga sana..
Ni mboga gani zaidi zinazokupendeza ukiwa na huo ugali wa Dona?

Mbali na uya somayo na kukufurahisha katika hizo hadithi za kijasusi,,hujawahi kuwa na matamanio labda na wewe pengine siku moja ungekuwa mwandishi wa hadithi hizi pendwa na watu wakawa wanakusoma?au mbinu kutumia mbinu zaidi ya zilizotumika katika hadithi ulizowahi kuzisoma ?

Kama tunavyojua katika hadithi nyingi za kupelelezi mkono ni lazima utembee ndani yake,,je ulishawahi kusaidika au kutumia mbinu ulizozisoma katika hadithi hizo kwenye maisha yako ya uhalisia na zikakuokuoa katika hatari!!?

Na je!hujawahi kutamani/kupenda kuwa mmoja wa wapelelezi katika idara hii ambayo vijana wengi wenye umri fulani huwa na usongo wa kufanya kazi ya kipelelezi?
 
Umri wako tafadhali 😅
 
Mi napenda

Kula kula
Kusikiliza na kucheza mziki
Kulala
Toilet (ayaaa huwa naimba hadi mapambio huko😀)
Unapenda kula kula nini madam?ni aina gani ya chakula kinachoufurahisha moyo wako?!

Muziki wa aina ipi huufurahisha moyo wako??unapenda kucheza peke yako ukiwa umetulia,au ukiwa unafanya kazi mfano kupika,kuisha vyombo,,au ukiwa unasafisha nyumba?au ukiwa club?

Ukiachana na kuimba ukiwa chooni..ni kitu gani kingine huwa mara nyingi kinakujia au mawazo gani huwa yanakujia uwapo chooni??
 
Kaa pembeni ndugu hayo maneno yako ya huruma siwezi kukuonea huruma! Chakufanya tupambane atakae mbeba ndo huyohuyo..😜
😅😅😅anaweza akakukubalia wewe kwa sababu ya kitu,,,halafu zagarinojo akapendwa kwa dhati 🤭🤭😃😃😃
 
Napenda kusikiliza ngoma za Beres Hammond huku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye pc,Kazi zikinizingua kama sasa hivi napita na kuzugazuga JF,Nakupenda Chakorii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…