Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Bia gani unapenda mkuu?

aina gani ya wanawake wanaojuvutia?

Kwanini umechagua kusoma mambo yanayofanywa na Israel na sio urusi,North Korea’s,marekani wala China??
[/QUOTEThanks]bia ni Safari tuuu wanawake sura hata iwe Kama big g iliyonata kwenye Kochi ila Kama ana mapaja mazuri hapo ndo mi hufia.
 
Napenda sana rubics cube kila nnapokwenda siiachi nnapopata ka gep tu huwa nakomaa na pazo yangu

napenda Jamii forums
kupika pia ni hobi yangu Maana sipendi kula chakula migahawani wala sipendi fastfud maana znamaliza sana pesa
napenda kukaa ndani mwenyewe bila kuchangamana na watu.
 
Napenda kitu ya dona iliyochanganywa na unga wa muhogo..

Za kipelelezi haswa huwa nawaza ufundi wa wahusika kutokana na walivyochezeshwa hunipa unajasiri kwenye baadhi ya matukio,pia naichukulia ni sehemu ya kujifunza haswa nikiwa nasoma hadithi ya muandishi anaefanya tafiti kabla ya kuandika so huwa kuna tumbinu fulani unaweza kutupata.. kuhusu kutamani huwa natamani mpangilio wa uliotukuka,simulizi iwe na kutiana mashaka visa na mikasa,mbinu zakijasusi ufundi wa lugha kwa muandishi..nk
Kama tujuavyo ugali wa Dona huwa unachagua mboga sana..
Ni mboga gani zaidi zinazokupendeza ukiwa na huo ugali wa Dona?

Mbali na uya somayo na kukufurahisha katika hizo hadithi za kijasusi,,hujawahi kuwa na matamanio labda na wewe pengine siku moja ungekuwa mwandishi wa hadithi hizi pendwa na watu wakawa wanakusoma?au mbinu kutumia mbinu zaidi ya zilizotumika katika hadithi ulizowahi kuzisoma ?

Kama tunavyojua katika hadithi nyingi za kupelelezi mkono ni lazima utembee ndani yake,,je ulishawahi kusaidika au kutumia mbinu ulizozisoma katika hadithi hizo kwenye maisha yako ya uhalisia na zikakuokuoa katika hatari!!?

Na je!hujawahi kutamani/kupenda kuwa mmoja wa wapelelezi katika idara hii ambayo vijana wengi wenye umri fulani huwa na usongo wa kufanya kazi ya kipelelezi?
 
Yaani siku nikioa nafikiria tu jinsi ntakavyo kuwa romantic kwa wife wangu nahisi haijawahi tokea dunia hii

Ile akiwa anapika jikoni nishafika kumpa kampani kiunoni kono la kumbato la kweli..

Ile akishaiingia sebuleni I love you za kutosha na kiss nyingi za faragha

Sokoni sharti twende wote asije pata shida za barabarani

Vinyimbo vya kubembeleza vyangu mwenyewe hatovikosa...

Tukigombana tunaelewana simpigi kofi bali nampa surprise ya kwenda ulaya tupunguze hasira.

Yaani ntajitahidi nitunze tabasamu lake na kujimwaya Kama kote
Sare za nguo za kufikia mtaani

Chakorii yani mpaka I'm out of Point.
Umri wako tafadhali 😅
 
Mi napenda

Kula kula
Kusikiliza na kucheza mziki
Kulala
Toilet (ayaaa huwa naimba hadi mapambio huko😀)
Unapenda kula kula nini madam?ni aina gani ya chakula kinachoufurahisha moyo wako?!

Muziki wa aina ipi huufurahisha moyo wako??unapenda kucheza peke yako ukiwa umetulia,au ukiwa unafanya kazi mfano kupika,kuisha vyombo,,au ukiwa unasafisha nyumba?au ukiwa club?

Ukiachana na kuimba ukiwa chooni..ni kitu gani kingine huwa mara nyingi kinakujia au mawazo gani huwa yanakujia uwapo chooni??
 
Kaa pembeni ndugu hayo maneno yako ya huruma siwezi kukuonea huruma! Chakufanya tupambane atakae mbeba ndo huyohuyo..😜
😅😅😅anaweza akakukubalia wewe kwa sababu ya kitu,,,halafu zagarinojo akapendwa kwa dhati 🤭🤭😃😃😃
 
Napenda kusikiliza ngoma za Beres Hammond huku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye pc,Kazi zikinizingua kama sasa hivi napita na kuzugazuga JF,Nakupenda Chakorii.
 
Back
Top Bottom