Hayo ya Dona tuachanenayo maana si mtaalum kivile kujua inalika na mboga hii au hii!.. mi ni twanga ilale na nachojua toka nimeanza kula hakuna chakula kilichonilitea mzio!..
Napenda kuwa muandishi lkn akili yangu haijatulia!.. muandishi makini lzm uwe umetulia maana swala sio kuandika tu,Bali kuandika kilicho kizuri chenye matukio mujarabu,lugha tamu na mbinu yakinifu.. I can try to write but sio kazi nyepesi na inakula muda sana..!😅
Haha hizo mbinu sijawahi tumia maana mi si mtu wa maugomvi tofauti na vile wengi wanavyodhania hapa jf!.. ila siku nikibananika nikakumbuka najivika ujasiri wa joram kiango au Willy gamba..😂 japo si rahisi lkn ikibidi imebidi.. 😉
Kuhusu kupenda hiyo idara nilishawahi kuipenda tena Sanaa na kutamani kuwa Kama wao!.. lkn kadri niliposoma makala nyingi kuhusu hiyo idara na kuyajua mengi na namna yao wanavyochuka watu.. mawazo ya kuwa mmoja wao yakafutika sahivi sina hata matamanio.. hata ikitokea bahati ya mkenge wakinifata kuwakubalia wasifikiri!!.. kule Mambo si kama muvi tunavyofikiria! It needs more intelligent people,taff people na sifa fulani.. Sasa hizo mi naziokotea wapi.. hata ikitokea ugomvi tu mbaliga nnazotoka najua mimi.. mi nachojua Kama kuna ndugu yangu kwenye ugomvi husika ntahakikisha namtoa au anakuwa safe halafu mimi huyo..😂😂 kaoga ila nikikuamulia lzm uipatepate..
Kusema kweli hiyo idara ya upelelezi sahivi hata siiwazi Kama naweza kuwa mmoja wao!.. sahivi nimebakiza kufatilia ulinzi wa rais unavyofanya kazi na kuangalia utendaji wao basi tu..