Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Ulivyo na akili ya kipuuzi kama boga kiangazi unafikiri mimi ni wa leo JF..ukielewa maana ya chitchat hutoleta upoyoyo wako

Hivi unafikiri kila mwanamke huku JF a nategemea mwanaume wa kutoka huku?kama wewe ukiwa na hizo nyege mshindo zako hukimbilia JF kupata vipoozeo basi ni wewe..huwa nakuona za sana kwenye nyuzi za watu ukileta miyeyusho 👎

Hey...nilitaka kusahau...hapa nilipo mr yuko hoi kalala kwa uchovu kutokana na kishindo cha usiku mzima..
Unaakili fupi sana..stupid.

hivi kwanza nakujibu wa nini!!nikiendelea kukujibu nitaonekana ninaakili za kipuuzi kama zako.
🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
Pole sana ni khali ya kawaida kuwa na uhanga, si ugonjwa ujue
 
napenda sana ibada japo kuna nyakati shetani hunitenza nguvu na kunipeleka kwenye ulabu na wanawake, changamoto hii inanisumbua japo naamini ipo siku ntaishinda
 
Pesa-za kwako au za kupewa
Kupika-unapenda kupika nini/aina gani ya chakula
Kula-aina gani ya chakula unapenda
Music-music gani una upendo /kukuvutia
hela zozote tu ziwe zangu mwenyewe, za kupewa ata zikiwa za mtu mwengine mi nazipenda.
kupika any kind of food as long as napika mi napenda na ndio kazi ambayo hainichoshi yaaani hata uniambie kuanzia asubuhi mpaka jioni niwe napika tu am very okay kabisa na naenjoy
napenda kula nyama sana 😂😂
apo kwenye music inategemea na mood ya siku tho kuna baadhi ya nyimbo sipitishi siku sijazisikiliza
 
Vizuri.

Unapenda kupika nini sasa mkuu..

Utakuwa mwana uchumi maana sio kwa kumaliza huko pesa kwenye fastfood unakokusemea..

Wakati uko nyumbni imekaa peke yako,,ni nini hupenda kujishughulisha nacho ?
vyakula vya kitanzania asilimia kubwa natoa mwenyewe na nafurahia sana
Sio mwanauchumi ila nafurahia zaidi chakula cha nyumbani maana bajeti yake sio kubwa na unashiba safiiiii kabisa + usalama wake ni 100%
mimi ni mraibu wa Rubrics cube kuliko kitu chochote
 
Ohoooo sasa nimekuelewa mkuuu
 
Hayo ya Dona tuachanenayo maana si mtaalum kivile kujua inalika na mboga hii au hii!.. mi ni twanga ilale na nachojua toka nimeanza kula hakuna chakula kilichonilitea mzio!..

Napenda kuwa muandishi lkn akili yangu haijatulia!.. muandishi makini lzm uwe umetulia maana swala sio kuandika tu,Bali kuandika kilicho kizuri chenye matukio mujarabu,lugha tamu na mbinu yakinifu.. I can try to write but sio kazi nyepesi na inakula muda sana..!😅

Haha hizo mbinu sijawahi tumia maana mi si mtu wa maugomvi tofauti na vile wengi wanavyodhania hapa jf!.. ila siku nikibananika nikakumbuka najivika ujasiri wa joram kiango au Willy gamba..😂 japo si rahisi lkn ikibidi imebidi.. 😉

Kuhusu kupenda hiyo idara nilishawahi kuipenda tena Sanaa na kutamani kuwa Kama wao!.. lkn kadri niliposoma makala nyingi kuhusu hiyo idara na kuyajua mengi na namna yao wanavyochuka watu.. mawazo ya kuwa mmoja wao yakafutika sahivi sina hata matamanio.. hata ikitokea bahati ya mkenge wakinifata kuwakubalia wasifikiri!!.. kule Mambo si kama muvi tunavyofikiria! It needs more intelligent people,taff people na sifa fulani.. Sasa hizo mi naziokotea wapi.. hata ikitokea ugomvi tu mbaliga nnazotoka najua mimi.. mi nachojua Kama kuna ndugu yangu kwenye ugomvi husika ntahakikisha namtoa au anakuwa safe halafu mimi huyo..😂😂 kaoga ila nikikuamulia lzm uipatepate..

Kusema kweli hiyo idara ya upelelezi sahivi hata siiwazi Kama naweza kuwa mmoja wao!.. sahivi nimebakiza kufatilia ulinzi wa rais unavyofanya kazi na kuangalia utendaji wao basi tu..
😊😊😊 kaka umeeleza kile ambacho nilitaka kusikia..safi!🥰🥰

Unawashauri nini vijana ambao wanandoto za kujiingiza katika hiyo idara mkuu
 
Ambacho hukijui dada nina wivu mpk kero!! Hapo tu huto tu maneno twako tumeshaulalua moyo!.. bahati nzuri mi introvert so i can handle that..😜

Pamoja na kwamba ninawivu lkn najua kushika na kuachia!.. mi nimwepesi kuachia hata Kama nitaumia lkn nikishajua mtu hanipendi njia nyeupe kabisa!.. ila huwa sipendi mtu aende hivihivi lzm nipandikize kitu moyoni mwake ili nae hata Kama ataenda badi lzm akumbuke kugeuka nyuma tu!!..😜
Ubaya wangu wivu wangu huishia ndani kwa ndani!.. ila nawe hata Kama utaondoka kwakuwa ulishawahi kukakaa karibu nami basi lzm kakitu fulani kakutafune..😜
Kaka wivu uliokuwa nao hata nyenyere hana..😆

Angalia tu usije ukaenda na maji😆😆😆😆🤭🤭🤭
 
napenda sana ibada japo kuna nyakati shetani hunitenza nguvu na kunipeleka kwenye ulabu na wanawake, changamoto hii inanisumbua japo naamini ipo siku ntaishinda
Amen..
Cha msingi India he kusali..hata kama unataka enda club sali,,sijui unataka kufanya nini sali,,Mungu anakusudi lake kunipandikiza hiyo Hofu ndani yako
 
hela zozote tu ziwe zangu mwenyewe, za kupewa ata zikiwa za mtu mwengine mi nazipenda.
kupika any kind of food as long as napika mi napenda na ndio kazi ambayo hainichoshi yaaani hata uniambie kuanzia asubuhi mpaka jioni niwe napika tu am very okay kabisa na naenjoy
napenda kula nyama sana 😂😂
apo kwenye music inategemea na mood ya siku tho kuna baadhi ya nyimbo sipitishi siku sijazisikiliza
Safiiiiii😅😅nilijua unapenda kupika maji😅😅

Kumbe unakaa kuolewa🤭🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Back
Top Bottom