Vizuri.Napenda sana rubics cube kila nnapokwenda siiachi nnapopata ka gep tu huwa nakomaa na pazo yangu
napenda Jamii forums
kupika pia ni hobi yangu Maana sipendi kula chakula migahawani wala sipendi fastfud maana znamaliza sana pesa
napenda kukaa ndani mwenyewe bila kuchangamana na watu.
Ohoooo vizuri mkuu na pole kwa majukumu ya kazi.Napenda kusikiliza ngoma za Beres Hammond huku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye pc,Kazi zikinizingua kama sasa hivi napita na kuzugazuga JF,Nakupenda Chakorii.
Nilikunywa sparkling apple punch mbili mchana na jioni, after dinner nikakunywa ka glass ka red wine inaitwa Mohans ๐Umenizid kupitisha siku bila kukunywa aiseh..
Uko kinywaji cha ngapi mpka sasa huko ulipo..
Usiseme Ginger ale tu, sema Ginga ale baridiiiiii๐1. I do like staying indoors kama sina sababu ya msingi ya kunitoa nje....
2. Kulala
3. Staying indoors with bae, yatakayoendelea hapo hayawahusu...
4. Kula kula snacks, bites and the like
5. Muziki
6. Napenda kunywa, ni ngumu kumaliza siku sijanywa kimiminika cha aina nyingine tofauti na maji
Is a weekend, drink responsibly drink wiser ๐ป
Happy weekend to y'all...
Mjep kuna ginger ale yako inakusubiri hapa ๐
Sahivi nitakuagizia Smirnoff baridiiii ๐ andaa kooUsiseme Ginger ale tu, sema Ginga ale baridiiiiii๐
[emoji3][emoji3][emoji3]Asanteeeee[emoji2][emoji2]
Una uhanga wewe si bure, unachokitafuta utakipataHabari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa๐๐mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch ๐ฅ jamni...maana ndo muda wenyewe huu๐๐
Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna...๐ ๐ watu mlitiririka...๐๐๐ค๐ค๐คsana.
Sasa leo tunazungumzia vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku ..si ndio eee...eheee๐๐๐
Nitaanza na mimi mambo yasiwe mengi๐ ๐ ..
Napenda
1.kupika๐ฉโ๐ณ
2.kula๐ฅ๐ฏ๐ฎ๐ฒ๐ฅ๐ค๐ฅ๐ฅช
3.kuishi/kukaa sehemu/au mazingira yaliyotulia mnooooo niwe nasikia sauti za ndege tu.๐ฅฐ๐ฅฐ
4.kupiga โgameโsehemu ambayo sio rasmi kama vile sebuleni๐๐๐jikoni๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธNikiwa nakatakata vitunguu mguu mezan ๐๐ ๐คซ๐คซ(hapa inabidi niwe makini na pilipili mambo yasije yakaharibika)basi tu mradi vurugu tu๐ ๐ mara vitunguu vimeungua...,,nyanya sijui zimefanyaje huko...mara sijui hiki kimefanyaje๐คญ๐คญbasi ni vurugumechi mtindo mmoja๐ ๐ ๐ ๐ bafuni๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธjizazi..maisha haya๐๐๐๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ ๐คช๐คช๐คช
5.kuwatch movie na babe huku nimemlalia kwa kifua ๐๐๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธYatakayojiri wakati tutakaokuwa tunaangalia movie ๐ฟ nitarudi kuwahadithia๐๐๐๐๐คช๐คช
Tusichukulie maisha siriazi sana jamani ๐ ๐ tufurahi kidogo ndugu zanguni ๐ฅฐ๐๐๐
Wikend hiiiyoooooooo....ndo kwanza mpya bado haijachakaa woooooozaaaaaahhh๐งโโ๏ธ๐งโ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ
Waaaaaaaaahhiiiiiiiiiiii..maisha ndo haya haya tu furaha tu hakuna namna๐ ๐ si ndio eee....eheeee...๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ
Take gud care of yourselves guys..
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hayo ya Dona tuachanenayo maana si mtaalum kivile kujua inalika na mboga hii au hii!.. mi ni twanga ilale na nachojua toka nimeanza kula hakuna chakula kilichonilitea mzio!..Kama tujuavyo ugali wa Dona huwa unachagua mboga sana..
Ni mboga gani zaidi zinazokupendeza ukiwa na huo ugali wa Dona?
Mbali na uya somayo na kukufurahisha katika hizo hadithi za kijasusi,,hujawahi kuwa na matamanio labda na wewe pengine siku moja ungekuwa mwandishi wa hadithi hizi pendwa na watu wakawa wanakusoma?au mbinu kutumia mbinu zaidi ya zilizotumika katika hadithi ulizowahi kuzisoma ?
Kama tunavyojua katika hadithi nyingi za kupelelezi mkono ni lazima utembee ndani yake,,je ulishawahi kusaidika au kutumia mbinu ulizozisoma katika hadithi hizo kwenye maisha yako ya uhalisia na zikakuokuoa katika hatari!!?
Na je!hujawahi kutamani/kupenda kuwa mmoja wa wapelelezi katika idara hii ambayo vijana wengi wenye umri fulani huwa na usongo wa kufanya kazi ya kipelelezi?
Ambacho hukijui dada nina wivu mpk kero!! Hapo tu huto tu maneno twako tumeshaulalua moyo!.. bahati nzuri mi introvert so i can handle that..๐๐ ๐ ๐ anaweza akakukubalia wewe kwa sababu ya kitu,,,halafu zagarinojo akapendwa kwa dhati ๐คญ๐คญ๐๐๐
Pole shemuUnabalaa wewe sijui ukojeee...
๐คฎ๐คฎ๐คฎ
Tumewazoea akinamama wanaoanzisha sredi kama hizi ni nini wanatafuta wakishapata, huwaoni tena wanatulia tuli. Sasa nakuona wiki hii, kwa bibi kunataka na pengine mkunaji hayupo! Wanakuja akinaUnabalaa wewe sijui ukojeee...
๐คฎ๐คฎ๐คฎ
We unaujua bana sitaki kuvujisha siri[emoji23][emoji23]Umri wako tafadhali [emoji28]
Ulivyo na akili ya kipuuzi kama boga kiangazi unafikiri mimi ni wa leo JF..ukielewa maana ya chitchat hutoleta upoyoyo wakoTumewazoea akinamama wanaoanzisha sredi kama hizi ni nini wanatafuta wakishapata, huwaoni tena wanatulia tuli. Sasa nakuona wiki hii, kwa bibi kunataka na pengine mkunaji hayupo! Wanakuja akina