Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri.Napenda sana rubics cube kila nnapokwenda siiachi nnapopata ka gep tu huwa nakomaa na pazo yangu
napenda Jamii forums
kupika pia ni hobi yangu Maana sipendi kula chakula migahawani wala sipendi fastfud maana znamaliza sana pesa
napenda kukaa ndani mwenyewe bila kuchangamana na watu.
Ohoooo vizuri mkuu na pole kwa majukumu ya kazi.Napenda kusikiliza ngoma za Beres Hammond huku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye pc,Kazi zikinizingua kama sasa hivi napita na kuzugazuga JF,Nakupenda Chakorii.
Nilikunywa sparkling apple punch mbili mchana na jioni, after dinner nikakunywa ka glass ka red wine inaitwa Mohans 😛Umenizid kupitisha siku bila kukunywa aiseh..
Uko kinywaji cha ngapi mpka sasa huko ulipo..
Usiseme Ginger ale tu, sema Ginga ale baridiiiiii😋1. I do like staying indoors kama sina sababu ya msingi ya kunitoa nje....
2. Kulala
3. Staying indoors with bae, yatakayoendelea hapo hayawahusu...
4. Kula kula snacks, bites and the like
5. Muziki
6. Napenda kunywa, ni ngumu kumaliza siku sijanywa kimiminika cha aina nyingine tofauti na maji
Is a weekend, drink responsibly drink wiser 🍻
Happy weekend to y'all...
Mjep kuna ginger ale yako inakusubiri hapa 😆
Sahivi nitakuagizia Smirnoff baridiiii 😛 andaa kooUsiseme Ginger ale tu, sema Ginga ale baridiiiiii😋
[emoji3][emoji3][emoji3]Asanteeeee[emoji2][emoji2]
Una uhanga wewe si bure, unachokitafuta utakipataHabari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa😊😊mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch 🥙 jamni...maana ndo muda wenyewe huu😊😊
Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna...😅😅watu mlitiririka...😄😄🤝🤝🤝sana.
Sasa leo tunazungumzia vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku ..si ndio eee...eheee😊😊😊
Nitaanza na mimi mambo yasiwe mengi😅😅..
Napenda
1.kupika👩🍳
2.kula🥙🌯🌮🍲🥗🍤🥘🥪
3.kuishi/kukaa sehemu/au mazingira yaliyotulia mnooooo niwe nasikia sauti za ndege tu.🥰🥰
4.kupiga “game”sehemu ambayo sio rasmi kama vile sebuleni🙈🙈🙈jikoni🙆♀️🙆♀️💁♀️💁♀️💁♀️Nikiwa nakatakata vitunguu mguu mezan 🙊🙊 🤫🤫(hapa inabidi niwe makini na pilipili mambo yasije yakaharibika)basi tu mradi vurugu tu😅😅mara vitunguu vimeungua...,,nyanya sijui zimefanyaje huko...mara sijui hiki kimefanyaje🤭🤭basi ni vurugumechi mtindo mmoja😅😅😅😅bafuni🤦♀️🤦♀️jizazi..maisha haya😁😁😁🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️ 🤪🤪🤪
5.kuwatch movie na babe huku nimemlalia kwa kifua 🙈🙈🤦♀️🤦♀️🤦♀️Yatakayojiri wakati tutakaokuwa tunaangalia movie 🍿 nitarudi kuwahadithia💃💃💃💃🤪🤪
Tusichukulie maisha siriazi sana jamani 😅😅 tufurahi kidogo ndugu zanguni 🥰😘😘😘
Wikend hiiiyoooooooo....ndo kwanza mpya bado haijachakaa woooooozaaaaaahhh🧚♀️🧚🧚♀️🧚♀️
Waaaaaaaaahhiiiiiiiiiiii..maisha ndo haya haya tu furaha tu hakuna namna😅😅 si ndio eee....eheeee...🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Take gud care of yourselves guys..
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
Hayo ya Dona tuachanenayo maana si mtaalum kivile kujua inalika na mboga hii au hii!.. mi ni twanga ilale na nachojua toka nimeanza kula hakuna chakula kilichonilitea mzio!..Kama tujuavyo ugali wa Dona huwa unachagua mboga sana..
Ni mboga gani zaidi zinazokupendeza ukiwa na huo ugali wa Dona?
Mbali na uya somayo na kukufurahisha katika hizo hadithi za kijasusi,,hujawahi kuwa na matamanio labda na wewe pengine siku moja ungekuwa mwandishi wa hadithi hizi pendwa na watu wakawa wanakusoma?au mbinu kutumia mbinu zaidi ya zilizotumika katika hadithi ulizowahi kuzisoma ?
Kama tunavyojua katika hadithi nyingi za kupelelezi mkono ni lazima utembee ndani yake,,je ulishawahi kusaidika au kutumia mbinu ulizozisoma katika hadithi hizo kwenye maisha yako ya uhalisia na zikakuokuoa katika hatari!!?
Na je!hujawahi kutamani/kupenda kuwa mmoja wa wapelelezi katika idara hii ambayo vijana wengi wenye umri fulani huwa na usongo wa kufanya kazi ya kipelelezi?
Ambacho hukijui dada nina wivu mpk kero!! Hapo tu huto tu maneno twako tumeshaulalua moyo!.. bahati nzuri mi introvert so i can handle that..😜😅😅😅anaweza akakukubalia wewe kwa sababu ya kitu,,,halafu zagarinojo akapendwa kwa dhati 🤭🤭😃😃😃
Pole shemuUnabalaa wewe sijui ukojeee...
🤮🤮🤮
Tumewazoea akinamama wanaoanzisha sredi kama hizi ni nini wanatafuta wakishapata, huwaoni tena wanatulia tuli. Sasa nakuona wiki hii, kwa bibi kunataka na pengine mkunaji hayupo! Wanakuja akinaUnabalaa wewe sijui ukojeee...
🤮🤮🤮
We unaujua bana sitaki kuvujisha siri[emoji23][emoji23]Umri wako tafadhali [emoji28]
Ulivyo na akili ya kipuuzi kama boga kiangazi unafikiri mimi ni wa leo JF..ukielewa maana ya chitchat hutoleta upoyoyo wakoTumewazoea akinamama wanaoanzisha sredi kama hizi ni nini wanatafuta wakishapata, huwaoni tena wanatulia tuli. Sasa nakuona wiki hii, kwa bibi kunataka na pengine mkunaji hayupo! Wanakuja akina