Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

1.Kupika

2.Kuzurura online,mara nipo huku mara kule,nimesoma hiki mara kile,nk

3.kulala

4.Kupiga story na mtu yeyote anipe idea za biashara mpya,tusimuliane kuhusu maisha,anipe mbinu mpya,nimshauri,nk

5.Kusikiliza/kuangalia nyimbo za DINI ila ziwe za kuabudu TU, (sio zile za kusifu,hizo hapana)

6.Nikae kwa kochi maza mjengo akae chini,nianze fumua nywele zake au anipe kazi yyte kwenye nywele zake,daaah napenda.

7.Kupga/kushika mawowowo ya maza mjengo nikipta hivi nimegusa,nikirud nimegusa,yani ivyo siwez yaangalia tu mimi kama picha.

8.Cotton buds kuziptisha masikioni,i swear napataga ka feeling flani kama nakojoa bao la kwanza,naztumia for fun siku hzi maana sina hata uchafu ninaotoa huko maskioni basi tu naskia utamu kuzptsha kwa maskio yangu.

9.kula ICE CUBES yani zpo tu pale kwa fridge nkiwa home napenda zitafuna tafuna,sa zingine nazchukua naenda mdumbukizia maza mjengo kwenye Bra,basi full kumkera tu Japo nikimkutaga kwenye mood mbaya ananizibuaga sema sku zngine anachekelea.

10.Kuimba nyimbo zote za mwimbieni bwana ninazojua sauti yake,Nakaa seblen/chumban nashka Mwimbieni Bwana yangu naanza imba nyimbo zote ninazojua sauti zake,ambazo sijui najitungiia sauti ilimradi tu siku iende (napenda sana).

11.Mwisho napenda kuandika andika kama hivi nimeshusha namba kibao as if naandika point sana kumbe mashudu tu sema ndio hivyo tena ndio kitu napenda,tuvumiliane.
 
Najikuta nakosa cha kukuuliza CONTROLA haki tena umemaliza kila kitu aiseh 😃

Lakini siwezi kubali nikaacha kukuuliza japo kidogo🤪unapenda kupika nini??na ukipika nani anaekula hicho chakula??maana unapenda kupika lkni huli😅😅

😄😄mkuu hakuna mtu kama wewe huko mtaani kwenu mwenye sifa kama hizi na yuko singali!!!aise mwamba umetisha...hakika wifi huko kila siku a namshukuru Mungu kwa ajili yako kukupata...

Wanaume kama wewe aiseh sidhani kama bado wapo😆😆😆
 
Kwenye mziki sina tatizo sana..
Ugali dona au sembe...

Ukisoma Hadith za kipelekezi huwa unawaza nini hasa..unatamani nini hasa punde usomapo
Napenda kitu ya dona iliyochanganywa na unga wa muhogo..

Za kipelelezi haswa huwa nawaza ufundi wa wahusika kutokana na walivyochezeshwa hunipa unajasiri kwenye baadhi ya matukio,pia naichukulia ni sehemu ya kujifunza haswa nikiwa nasoma hadithi ya muandishi anaefanya tafiti kabla ya kuandika so huwa kuna tumbinu fulani unaweza kutupata.. kuhusu kutamani huwa natamani mpangilio wa uliotukuka,simulizi iwe na kutiana mashaka visa na mikasa,mbinu zakijasusi ufundi wa lugha kwa muandishi..nk
 
zagarinojo njoo umpe mtoto kampani
Yaani siku nikioa nafikiria tu jinsi ntakavyo kuwa romantic kwa wife wangu nahisi haijawahi tokea dunia hii

Ile akiwa anapika jikoni nishafika kumpa kampani kiunoni kono la kumbato la kweli..

Ile akishaiingia sebuleni I love you za kutosha na kiss nyingi za faragha

Sokoni sharti twende wote asije pata shida za barabarani

Vinyimbo vya kubembeleza vyangu mwenyewe hatovikosa...

Tukigombana tunaelewana simpigi kofi bali nampa surprise ya kwenda ulaya tupunguze hasira.

Yaani ntajitahidi nitunze tabasamu lake na kujimwaya Kama kote
Sare za nguo za kufikia mtaani

Chakorii yani mpaka I'm out of Point.
 
Kenzy we unajua tumeongea nae nini uyo tumepanga mengi pamoja naye
Tunataka tubaki tukiwa single lakini katika mahusiano naye
Kaa pembeni ndugu hayo maneno yako ya huruma siwezi kukuonea huruma! Chakufanya tupambane atakae mbeba ndo huyohuyo..😜
 
Back
Top Bottom