Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

😊😊😊 kaka umeeleza kile ambacho nilitaka kusikia..safi!🥰🥰

Unawashauri nini vijana ambao wanandoto za kujiingiza katika hiyo idara mkuu
Wenye ndoto za kuwa hivyo wanaweza kuziishi ndoto zao lkn wakae wakijua sio kwa asilimia Mia!.. wasitegemee moja kwa moja kuzipata hizo nafasi na wakae wakijua sio muvi ile ni real so chochote kinaweza kukupata na uzalendo ndio nafasi ya kwanza kwenye ile kazi na sio hela!,maana idara Kama zile pesa sio tatizo labda ukute mahali wasipojielewa maana ni sawa na kuuliza damu kwenye Moyo!.. so moyo tayari unadamu ya kutosha tatizo ni namna ya kuisambaza hiyo damu ili mwili ukawe hai na secure!..
Idara kama hizo ndio moyo wa nchi,hivyo zinahitaji watu makini sana tena Sana na ni muhimu haswa kwa wale wenye passion ya kuilinda nchi bila kuangalia masirahi!.. chakusema hizo idara zinahitaji watu Kama wao ila wasitegemee moja kwa moja kwani hata hivyo kila mmoja ni usalama wa taifa lake isipokuwa ni namna tu utakavyoitumia nafasi yako.
 
Thanks mkuu,

Napenda kupika wali + samaki (sato, sangara)/kuku/nyama na maharage (yaan wali bila maharage nazi huwa haupandi kabisa, bora nikose samaki kuliko kula wali bila beans [emoji16][emoji39])

Pamoja na mboga ya majani, mchicha/kisamvu/tembele napenda mboga za majani karibu zote

Bila kusahau matunda watermelon, banana, embe, tango au juice natural yabariiiid[emoji484][emoji4], natengeneza sana watermelon juice, embe+passion+parachichi, milk shake

Pia napenda kuchoma nyama ya kuku, mbuzi na ng'ombe [emoji491][emoji490]

Kwenye kula sasa [emoji3]
Napenda kula crips za viazi, kababu, bagia, yaan hizi bites ndogo ndogo napenda kinoma ila sijui kuvipika [emoji16][emoji16] na mvivu kujifunza

Vipi kuhusu wewe
Na ni vitu gani tunafanana [emoji848][emoji57]

Vitu vitatu tunafanana mkuu...
Safi sana..

Kwenye kupika unapenda kupika aina gani ya chakula??

Na unapenda kula aina gani ya chakula
 
Unapenda kula kula nini madam?ni aina gani ya chakula kinachoufurahisha moyo wako?!

Muziki wa aina ipi huufurahisha moyo wako??unapenda kucheza peke yako ukiwa umetulia,au ukiwa unafanya kazi mfano kupika,kuisha vyombo,,au ukiwa unasafisha nyumba?au ukiwa club?

Ukiachana na kuimba ukiwa chooni..ni kitu gani kingine huwa mara nyingi kinakujia au mawazo gani huwa yanakujia uwapo chooni??
Napenda kula kula tu nyama, tukuku, chips,bites nk ili mradi tu mdomo usitulie.

Mziki wowote utakaonivutia siku hiyo, ila napenda Reggae love songs,na zingine, hiyo cheza yake sasa,sijui hata naruka ruka tu humo ndañi nikiwa home😀,sijawahi kwenda club aisee
 
Napenda kula kula tu nyama, tukuku, chips,bites nk ili mradi tu mdomo usitulie.

Mziki wowote utakaonivutia siku hiyo, ila napenda Reggae love songs,na zingine, hiyo cheza yake sasa,sijui hata naruka ruka tu humo ndañi nikiwa home[emoji3],sijawahi kwenda club aisee
Wanawake na chipsi bana[emoji846][emoji846]
 
Napenda kukaa nyumbani
Yaani huwa najisikia amani sana nikikaa nyumbani tena niwe na kila kitu humo ndani

Napenda kulala mno

Napenda kuimba,haipiti siku sijaimba
 
Napenda kukaa nyumbani
Yaani huwa najisikia amani sana nikikaa nyumbani tena niwe na kila kitu humo ndani

Napenda kulala mno

Napenda kuimba,haipiti siku sijaimba
yaani kama mimi tu sipendagi kabisa eti kuzurura I'm an introvert in general sijazoeana sana na watu napenda kuandika mavitu vitu nikiwa home..
 
Najikuta nakosa cha kukuuliza CONTROLA haki tena umemaliza kila kitu aiseh 😃

Lakini siwezi kubali nikaacha kukuuliza japo kidogo🤪unapenda kupika nini??na ukipika nani anaekula hicho chakula??maana unapenda kupika lkni huli😅😅

😄😄mkuu hakuna mtu kama wewe huko mtaani kwenu mwenye sifa kama hizi na yuko singali!!!aise mwamba umetisha...hakika wifi huko kila siku a namshukuru Mungu kwa ajili yako kukupata...

Wanaume kama wewe aiseh sidhani kama bado wapo😆😆😆
Chakorii mama nikisema kupika ujue ni kupika kila kitu,Hapa nilipo sina chakula sijui kupika Nadhani hii n kwasababu ya maisha yangu ya biashara biashara,labda utajiuliza nimejuaje kupika vyakula hivyo?!

Jibu ni kwamba :

Unajua mimi ni mfanyabiashara na moja ya biashara ninazofanya ni biashara za chakula,nina sehemu za kuuza vyakula zakutosha tu lakini mwanzo kbla sijawa expert wa jiko niliingiia ktk hii biashara nikiwa sijui lolote na nilianza kwa kuajiriwa nilikua mtu wa jikoni kutumwa viungo vya jikoni na kuviandaa yani kama nikiletea makaroti,hoho,vitunguu,nk natakiwa vikatakata na kuviweka tayari CHIEF COOKER atapokuja anakuta kila kitu kipo tayari yeye anapika tu.

sasa ktk hatua hiyo nikawa najua aina za viungo na jinsi ya kuviandaa,maisha yaliendelea hadi nikawa siku 1 moja naambiwa CONTROLA hebu pika kitu flani,natumwa nifanye ila ndio hivyo najifunza mwisho nikajua.

Nikafungua sehemu yangu nikaajiri raia waliokua wanapka ila nikawa napata changamoto ya wapishi,akifanya kazi wiki 1 wiki ya pili anakwambia ana dharura mwanae anaumwa,au amepata msiba,nikawa nateseka sana siku ambazo mpishi haji ikabdi nianze pikia wateja kibishi hivyo hvyo,napika wali m'bichi au umeiva upande mmoja mteja akija nifokea na kunikosoa au kunitukana nawabembeleza hivyo hivyo nikazoea nikawa najua kidogo kidogo,mwisho nikawa MTU HATARI ZAIDI NIKIWA JIKONI.

Nikisema mtu hatari nikiwa jikoni ujue namaanisha,ukitaka ujue makali yangu au haya ninayoyaongelea nafananaje ingia insta mtafute chief cooker niliekua namuandalia viungo enzi hizo,huyo ndio mwalimu wangu anaitwa Chefkile,napika namna hiyo aina zote za vyakula vya kitanzania ktk ubora wa chakula kuliwa na Wateja wakatingisha kichwa kukubali msosi ni wenyewe.
 
Najikuta nakosa cha kukuuliza CONTROLA haki tena umemaliza kila kitu aiseh 😃

Lakini siwezi kubali nikaacha kukuuliza japo kidogo🤪unapenda kupika nini??na ukipika nani anaekula hicho chakula??maana unapenda kupika lkni huli😅😅

😄😄mkuu hakuna mtu kama wewe huko mtaani kwenu mwenye sifa kama hizi na yuko singali!!!aise mwamba umetisha...hakika wifi huko kila siku a namshukuru Mungu kwa ajili yako kukupata...

Wanaume kama wewe aiseh sidhani kama bado wapo😆😆😆

Chakorii nikipika anakula maza mjengo mostly (akiwepo lakini) ila mara nyingi nakulaga mwenyewe maana imefikia wakati nikila chakula huko njiani naona ni kibovu na hawajui hivyo napenda kupika chakula changu mwenyewe.

mimi napika na napenda kula ninachokipika sio mvivu (eneo hilo) sipendi tu kula huko barabarani maana kuna siri kubwa sana ktk biashara ya chakula ambayo watu hawaijui na waki ijua ndio itakua mwisho wao kula chakula ambacho hawajaona kimepikwaje.

Mimi sili chakula sehemu yyte tofauti na sehemu zangu za biashara au kama n sehemu zingine basi hcho chakula kitakua chips tu tena kavu staki chochote toka kwao tofauti na chumvi.
 
😄😄mkuu hakuna mtu kama wewe huko mtaani kwenu mwenye sifa kama hizi na yuko singali!!!aise mwamba umetisha...hakika wifi huko kila siku a namshukuru Mungu kwa ajili yako kukupata...

Wanaume kama wewe aiseh sidhani kama bado wapo😆😆😆

Wapo mkuu tena wengi,chambua chambua tu utawaona ila hawapo huko mabarabarani🤣

Wifi ako anazingua we hujui tu,si wanasemaga upele humwota asie na kucha tena,ndio hvyo sasa...

Ukitaka wa type hiyo utawapata ila wana madhaifu konki master ukiambiwa udhaifu wake mmoja tu

unaweza jikuta unasema bora niwe single kwakweli ku miliki type hiyo ya wanaume ni headache,trust me yahitaji MOYO😂
 
Napenda kuhesahu hela, I just enjoy seeing my wallet full of wekundu.

Napenda kumtawanya...kumtawanya tu baaas!

Napenda ubwabwa na maharage, sijui mzee rungwe anatoa ubwabwa na nini.

I used to like flirting, nimeacha though!!!
 
Back
Top Bottom