Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ile ya ujana ndio nimeamini, mlikuwa mnavaa jeje, kumbe vijana wanawaiga tu!Sijaongezeka kabisa
Ile ya ujana ndio nimeamini, mlikuwa mnavaa jeje, kumbe vijana wanawaiga tu!Sijaongezeka kabisa
Kabisa! Watoto wa elfu 2 nao wakubwa zaidi yetu, vyakula vina madawa na makuku ya kisasa haya!Naona ni vyakula vya sasa
Umeona eee yaani kama ni ujana tuli enjoy sana miaka hiyo na nilikuwa nimeisha ondoka bongoIle ya ujana ndio nimeamini, mlikiwa mnavaa jeje, kumbe vijana wanawaiga tu!
Mungu awasaidieKabisa! Watoto wa elfu 2 nao wakubwa zaidi yetu, vyakula vina madawa na makuku ya kisasa haya!
Mlienjoy zaidi ya gen zee?Umeona eee yaani kama ni ujana tuli enjoy sana miaka hiyo na nilikuwa nimeisha ondoka bongo
Sijazisikia kwakweli! HahahaaPekos na Boogaloo kama umezisikia 😆😆 ndio zilitamba enzi hizo na viatu vya Raizoni
Mafundi simu wanatumia. Funga kwenye vidumu vya lita 1 tu. Hao uhakika. Ila kama ulizoa chini kabisa na yamechanganyikana na udongo, peleka Airport😂🤣🤣🤣Kuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Kumbee! Mbona wanatutisha, hao watoto ni wa wapi?Mungu awasaidie
Kuna gazeti la UK waliandika watoto wadogo kuanzia miaka 6 wanakuwa na matatizo ya akili
Idadi imeongezeka sana
Maradhi yamekuwa mengi sana kwa vyakula hivi
Chungeni sana afya zenu
Hahaha huwa naweka ila nazifuta, si unaelewa tena!Wewe mbona hukuweka picha yako
NiuziePC 😂
Nikishatumia ya kazini naiacha huko huko. Working from home mimi kwangu marufuku sina huo moyo. Sasa Pc iko tu imechill home
Nyoooo!Iphone 13 pro max
Ni UingerezaKumbee! Mbona wanatutisha, hao watoto ni wa wapi?
Weka tu mjukuu wanguHahaha huwa naweka ila nazifuta, si unaelewa tena!
Hutaki niwe mama yako 😁Jamani mi sitakii🥺
Huyu mzazi wa late 70s aliwahi kuzaa🤦🏽♀️
Salama kabisa mzee mwenzanguMzee mwenzangu nakupa 👋
Hmm aisee! Huko sio sehemu nzuri ya kulelea watoto!Ni Uingereza View attachment 3664929
Nikiweka nikashtua babuWeka tu mjukuu wangu
Sitaki jamani, kwani ukiwa dada tu unapungukiwa nini😏Hutaki niwe mama yako 😁
Nasubiri hapaNikiweka nikashtua babu
Unasubiri sasa hivi? Aah babu acha zakoNasubiri hapa
Sitaki kuwaza ukoje mpaka nikuone