Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,869
- 11,651
Nilinunua PS5 nikaona sio mambo yangu. Nimeitumia mara moja, nimeiweka tu sebuleni kama pambo
😆 kumbe unaujuaUnaitwa selfika, mpaka nikaipate pic yako si week ijayo! Acha hizo mzee🙄
Duh kwahiyo sisi wenye wazazi late 70s watawekwa kundi gani🤔😆 kumbe unaujua
Sasa kuna uzi wa wahenga uliwekwa jana
Yaani nimebaki nacheka peke yangu hata wimbo aliouweka sijawahi kuusikia
Watoto wa 80 na 90 wanajiita wahenga
Nikashindwa hata kuchangia, maana sijui wangeniweka kwenye group gani ningesema nimezaliwa kabla ya Uhuru
Mwaka ganiLakini Usijali utakuja kuiona picha
To be honest wala sikatai umri na ninashukuru kufika umri huu wa kuitwa babuDuh kwahiyo sisis wenye wazazi late 70s watawekwa kundi gani🤔
We sasa ni babu maana hata baba yangu ni baada ya uhuru lohh!🫢
Mwaka gani
Hongera sana! Si jambo jepesi kumingle humu at that age, hakika umeweza, seems uko strong, live long mkuu!To be honest wala sikatai umri na ninashukuru kufika umri huu wa kuitwa babu
Nikisema kabla ya Uhuru basi ujue nimevuka miaka 60
Ila nafurahia maisha bado kwa kufika huku na afya njema.
Sawa sawa.Kuhusu picha sio mwakani but soon
Nashukuru sana kunielewa,Hongera sana! Si jambo jepesi kumingle humu at that age, hakika umeweza, seems uko strong, live long mkuu!
Sawa sawa.
Mzazi wako ni wa late 70s 😁😁 umenifanya nimkumbuke mchumba wangu mmoja ni wa late 70s kumbe naweza kuwa mama yako wa kambo 🤣Duh kwahiyo sisi wenye wazazi late 70s watawekwa kundi gani🤔
We sasa ni babu maana hata baba yangu ni baada ya uhuru lohh!🫢
Mwaka gani
Nikurahisishie kwenye ule uzi wa selfikaSawa sawa.
Umeshapiga pesa zawajinga leo ndo unaona hauna ishu
Uliwezaje kuacha kutumia maana nasikia ukiukataa unapata madharaYeah 😀
Nafurahi kufahamu hivyo, ubarikiwe pia!Nashukuru sana kunielewa,
Kuna wa kila rika humu ili mradi maisha yanasonga na kufarijiana na kufurahi
Ubarikiwe sana
Jamani mi sitakii🥺Mzazi wako ni wa late 70s 😁😁 umenifanya nimkumbuke mchumba wangu mmoja ni wa late 70s kumbe naweza kuwa mama yako wa kambo 🤣
Sawa babu, nitafanya hivyo!Nikurahisishie kwenye ule uzi wa selfika
Nenda page 13839 uanzie hapo mabadiliko ni madogo sana
Mzee mwenzangu nakupa 👋Mzazi wako ni wa late 70s 😁😁 umenifanya nimkumbuke mchumba wangu mmoja ni wa late 70s kumbe naweza kuwa mama yako wa kambo 🤣
Specifications zake zikoje? Unaiuza?PC 😂
Nikishatumia ya kazini naiacha huko huko. Working from home mimi kwangu marufuku sina huo moyo. Sasa Pc iko tu imechill home
🤣🤣🤣🤣 nani alikupa?
Haya sasa Nenda page 13844 kuna picha enzi zangu za ujanaBlack Sniper nimeiona, mbona ni kama haiendani na umri unaosema hapa, unaonekana strong tu, umeongezeka mwili au?
Sijaongezeka kabisaBlack Sniper nimeiona, mbona ni kama haiendani na umri unaosema hapa, unaonekana strong tu, umeongezeka mwili au?
Hapo sawa! Uko vizuri aisee! Una mwili wa wastani, sisi wa 90s tushajizeekea lol😂Haya sasa Nenda page 13844 kuna picha enzi zangu za ujana
Kuhusu umri ni kwa sababu ya kazi tu, sijawahi kukaa bila kujituma
Kuna kazi ukipitia always unakuwa mkakamavu
Naona ni vyakula vya sasaHapo sawa! Uko vizuri aisee! Una mwili wa wastani, sisi wa 90s tushajizeekea lol😂