Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

Huu uzi nimegundua kua,kuna watu ni wabinafsi sana,
Kitu kama hukihitajii na kimekaa tu bila faida,kwanini usimpe mtu mwingine ili akitumie?
Wazungu ndomana mda mwingine wanapata zaid kwajili yakutoa, mi naamin kama sie wabongo tungekua ndo tunamaisha hata mitumba isingekwepo mana mbongo kutoa nguo yake ningumu nibora aichome moto
 
Ingekua ni watoaji basi hata baadhi ya shida zingepungua mtaani,
Imagine nguo ambayo huivai ukimpa mtu ambaye hana nguo ikamstiri.
 
Back
Top Bottom