Kuna watu,na mi nikiwemo(Mafundi) nyuma unakuta imejaa vitu. Vingine tukipita njiani vimetupwa,hata kama ni wire,tunaokota na kuweka ndani.
Ukiangalia cha thamani ni kipi,hakuna.
Japo kuna wakati vinatuokoa.
Kwa wale waliopanga, siku ya kuhama, mizigo anajaza gari,lakini ukitafuta cha maana alichofunga kwenye Box,hakuna.
Ukimletea mtu aliejipata,atakeambia acha kila kitu uanze maisha upya,huna kitu🤣🤣
1. Nilinunuaga Console(Panasonic KX-AT7730) Nikakaa nazo kama miaka 6, kwenye 8, mpaka leo nimeuza 2 tu🤣🤣🤣🤣
2. Siku moja nilikutana na kiatu cha Converse, no 6. Hakinitoshi,lakini niliamua kukinunua. Mpaka leo kipo ndani tu,na sioni kikivaliwa na yeyote.