Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
Haya acha nipite hivii.. nitaenda vichoma moto 😁😁Hebu nikione kwanza!
Haya acha nipite hivii.. nitaenda vichoma moto 😁😁Hebu nikione kwanza!
Tuitafutie mteja?Iphone 13 pro max
Kila la kheri!Haya acha nipite hivii.. nitaenda vichoma moto 😁😁
Ile ya Airtel.😂 ya airtel au voda
Miyeyusho ile 😂 na lilivyokubwa sasa ndio michosho zaidiIle ya Airtel.
Ebu nambie viungo wa kutia nijaribu last time nione..kuku ni wakienyejiAir fryer huyo kuku ulimuandaaje, ulimtia viungk stahiki kweli?
Lakini uliutumia tumia walahu kidogoMkoba wa uganga
Wife huwa naona anaweka vitunguu swaumu, tangawizi, kuna maji fulani kama meusi hiv, ndimu,curry powder ya njamo hivi, pilipili mtama, kuna vitu kama chumvi hiv, ainamoto sijui ajinamoto, vingine sivijui, kuna chicken masala sijui paprika ile, anaweka, kisha anaacha kwa karibia lisaa hivi, ndio anampachika huko.Ebu nambie viungo wa kutia nijaribu last time nione..kuku ni wakienyeji
Ha ha mimi kwavmanunuzi ndio mwenyewe,sasa huo mkandavwa ngozi inakubidi ununue mashine yake ya kutoboloea matundu,kama upo dar nenda kwenye maduka makubwa ya mikanda wanakiuza hicho kifaa pia,ama kuhusu air frier hicho ni kifaa muhimu sana kwako,kwamba ulimcha kuku kwenye air frier hakuwa mtamu,hapana dosari ipo kwako ni marination ndio hukufanya,ili kuku awe mtamu mfanyie marination.Vifaa ni muhimu sana ni namna ya kuvitumia1.kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona duka la mikanda ya ngozi nikanunua ila ilanibidi niutafutie kwanza msumari nitoboe tobo basi hio kazi ya kutafuta msumari imenishinda mpaka leo wala sina time nao mkanda Mpya nimeufungia tu kabatini bado natamba nao wa zamani wenye miaka zaidi ya 10 na fresh tu japo umelegea sio smart.
2.karibu yangu kuna swimming pool nikaogelea siku moja sasa kwa kuwa sijui kuogelea nikaingia mtandaoni nikaagiza swimming gears kama fins,goggles lengo niwe naogolea kila siku ..vifaa vikawasili ila hamasa ya kuogolea siioni tena kumbe sio hobby yangu kumbe ilikuwa mihemko tu.
3.air fryer nilinunua maana niliiga kwa jamaa yangu ..nikalinunua ila nilipoonja tu kuku niliyemchoma nalo sikurudia tena kuku anakuwa hana ladha kabisa bora kukaanga na frying pan tu nimeliacha mpaka lile li basket lishaanza kupata kutu
4.brender pia miyeyusho haitoi juice smoothie kama zile zilizosagwa na brender zenye nguvu..
vitu vingi watu tunanunua kwa kufuata Mkumbo tu .
Boss ukienda uwe makini, usije ukaliwa kimasihara.Vipo wapi hivyo vitu nivifuate naona we huna kazi navyo😁
Nimeona hivyo pia ni vya watoto sasa sijaelewa vizuriVitu vingi vya mtoto
Yanafanana sana na mafuta ya taa,tumia kuyapikia yatafaaKuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Vitu vingi nilivyonunua vya mtoto vimekaa tu ndani havitumiiNimeona hivyo pia ni vya watoto sasa sijaelewa vizuri
Namaanisha mleta mada vitu alivyoweka ni vya watotoVitu vingi nilivyonunua vya mtoto vimekaa tu ndani havitumii
Kiufupi havina umuhimu