dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,370
- 57,943
Kauli yako!Unanijua??
Kauli yako!Unanijua??
Wewe kila unachokisoma humu unakiweka kwenye akili yako? Vitu viko dar niko buzebazeba navipataje? Kaa kwa kutulia watu tuna have fun, nothing much!Kauli yako!
Nina Range limekaa tu hapa 😂😜Vipo wapi hivyo vitu nivifuate naona we huna kazi navyo😁
Nipe location nije kuokota😁Nina Range limekaa tu hapa 😂😜
Ngoja nikaioshe kwanza maana Sio vizuri kugawa kitu kichafuNipe location nije kuokota😁
Sawa ukimaliza utanishtua🤭Ngoja nikaioshe kwanza maana Sio vizuri kugawa kitu kichafu
Bahati mbaya pia mwaka jana nilitupa Benzi A150 ya 2010 ilienda Scrap yard
Uwe unanicheki Mara moja moja
Wizo muongo muongo 😹😹Nilinunua VIEITEE nikajikuta sina hamu nayo nikaitupa dampo.
Cc: binti kiziwi secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Tajiri tena? Yaani ka Range tu tajiri 😂😂😂Sawa ukimaliza utanishtua🤭
Nitajitahidi tajiri😂
Kumbe mpaka nini😂Tajiri tena? Yaani ka Range tu tajiri 😂😂😂
Bugatti Veyron maana kubadili Oil tu ni $30,000Kumbe mpaka nini😂
Hee huko tutafika tukiwa mbinguni mkuu..Bugatti Veyron maana kubadili Oil tu ni $30,000
Nikifika huko ndio utaniita hivyo
1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona duka la mikanda ya ngozi nikanunua ila ilanibidi niutafutie kwanza msumari nitoboe tobo basi hio kazi ya kutafuta msumari imenishinda mpaka leo wala sina time nao mkanda Mpya nimeufungia tu kabatini bado natamba nao wa zamani wenye miaka zaidi ya 10 na fresh tu japo umelegea sio smart.
2. Karibu yangu kuna swimming pool nikaogelea siku moja sasa kwa kuwa sijui kuogelea nikaingia mtandaoni nikaagiza swimming gears kama fins, goggles lengo niwe naogolea kila siku ..vifaa vikawasili ila hamasa ya kuogolea siioni tena kumbe sio hobby yangu kumbe ilikuwa mihemko tu.
3. Air fryer nilinunua maana niliiga kwa jamaa yangu ..nikalinunua ila nilipoonja tu kuku niliyemchoma nalo sikurudia tena kuku anakuwa hana ladha kabisa bora kukaanga na frying pan tu nimeliacha mpaka lile li basket lishaanza kupata kutu
4. Blender pia miyeyusho haitoi juice smoothie kama zile zilizosagwa na blender zenye nguvu..
vitu vingi watu tunanunua kwa kufuata Mkumbo tu.
Wala usihofu humu wamo baadhi ila na mimi ipo sikuHee huko tutafika tukiwa mbinguni mkuu..
Dah uzee unasaidia nini?😅Wala usihofu humu wamo baadhi ila na mimi ipo siku
Kwa Mungu madogo sana
Sikuwahi kuota nitasukuma Porsche
Nikiwa huko kiasi cha kuitwa hivyo basi Nitakuwepo humu
Uzee unasaidia sana 😂😆
Matumizi yanakuwa madogo sana kuliko nyie vijana.Dah uzee unasaidia nini?😅
Aah wapi, kwenda bali ni pesa inatumika pia unasema matumizi yanapungua?Matumizi yanakuwa madogo sana kuliko nyie vijana.
Mda wa starehe umepita kitambo unabaki kuziangalia zikiongezeka tu kwenye hisa
Uzee raha sana
Unaamua mwaka huu uende ukatembelee Bali au Bora Bora ni kuondoka tu bila hata kuaga 🙋♂️
Saaa jamani unataka nipigwe vumbi la bongo wakati ticket na wiki mbili za mapumziko ni $5000 tu na vichele vinabaki jamaniAah wapi, kwenda bali ni pesa inatumika pia unasema matumizi yanapungua?
Hahah ila wazee wa siku hizi jamani😁
Kwanini uondoke bila kuaga?
Aisee hatuwezi ongea ligha moja maana hakuna kitu ninachoelewa, wewe ongea na matajiri wenzio tu, makapuku tuna kugha zetu😆Saaa jamani unataka nipigwe vumbi la bongo wakati ticket na wiki mbili za mapumziko ni $5000 tu na vichele vinabaki jamani
Nimuage nani wakati watoto wameisha kuwa mababa na maisha yao?
Matumizi lazima au hujaona wazee wanaendesha Lambo kisa ni seat moja tu?
Haya ni malimbikizo ya miaka mingi ya kazi kwa hiyo kuiona dunia ni lazima and it won’t cost me much
Hapana si unajua ukiwa unaongea na babu hata mazungumzo yanakuwa tofauti?Aisee hatuwezi ongea ligha moja maana hakuna kitu ninachoelewa, wewe ongea na matajiri wenzio tu, makapuku tuna kugha zetu😆