daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,479
- 3,405
Earbuds
Sound bar
Sound bar
Huna haja ya kutoboa,kata kuke kwenye buckle kwa kupima saizinyake na ufunge tena kwa star screw driverPods nilifata mkumbo nimeshindwa kabisa kutumia na nikagawa
Kitu kama situmii sikai nacho
Hapo kwenye mkanda wa ngozi nilinunua coco beach kwa wamasai
Kufika home mkanda mkubwa nimeshindwa kutoboa mpka leo nimgumu 🙌🙌
Thank you 😊Huna haja ya kutoboa,kata kuke kwenye buckle kwa kupima saizinyake na ufunge tena kwa star screw driver
Nimenunua outlander 2450cc afu mafuta yamepanda, naona mzigo, nlikiwa natumia passo 990cc na kila week nlikuwa nasafiri 500 to 600 km sasa hili dubwasha mhhj. Watu walikuwa wananicheka nadrive gari sio ya hadhi yangu, nlinunua kuwanyamazisha sasa inanikomesha mafuta ila naitumia hivohivo1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona duka la mikanda ya ngozi nikanunua ila ilanibidi niutafutie kwanza msumari nitoboe tobo basi hio kazi ya kutafuta msumari imenishinda mpaka leo wala sina time nao mkanda Mpya nimeufungia tu kabatini bado natamba nao wa zamani wenye miaka zaidi ya 10 na fresh tu japo umelegea sio smart.
2. Karibu yangu kuna swimming pool nikaogelea siku moja sasa kwa kuwa sijui kuogelea nikaingia mtandaoni nikaagiza swimming gears kama fins, goggles lengo niwe naogolea kila siku ..vifaa vikawasili ila hamasa ya kuogolea siioni tena kumbe sio hobby yangu kumbe ilikuwa mihemko tu.
3. Air fryer nilinunua maana niliiga kwa jamaa yangu ..nikalinunua ila nilipoonja tu kuku niliyemchoma nalo sikurudia tena kuku anakuwa hana ladha kabisa bora kukaanga na frying pan tu nimeliacha mpaka lile li basket lishaanza kupata kutu
4. Blender pia miyeyusho haitoi juice smoothie kama zile zilizosagwa na blender zenye nguvu..
vitu vingi watu tunanunua kwa kufuata Mkumbo tu.
HAyo ni mafuta ya ndege,huko mjini watu wananusa ili waleweKuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Duu jet hio zi inact tu kama wese la taaKuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Kama ni ile ya umbo la pentagon tufanye biz naisaka sanaIle ya Airtel.
hizo korokoro za home gym....niuzieVaccum cleaner.
Cofee machine.
Dish machine.
Home gym imejaa makorokoro kibao ya mazoezi ila hayatumiki.
Grass cutter.
Roho inaniumaga nikiwazia hela zilizopotea bure😭
ndege JOHN endelea mkuu
😜😂 nyota za wazungu zingehamia hukuWanakwambia et nntaibiwa nyota ujinga mtupu
Unapenda kitonga! Loh.Vipo wapi hivyo vitu nivifuate naona we huna kazi navyo😁
Unanijua??Unapenda kitonga! Loh.