Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

Mambo wabongo tunayoweza kuyajadili kwa nguvu ndio haya!
 
Hiyo ya viatu ni Mimi kabisa😁

Nilinunua raba kali sana,mguu wa kushoto inanitosha lkn mguu wa kulia inanibana hata kutembelea siwezi,,,si nikainunua😁,,,ipo ndani,,vingine nanunua nikivipenda nagawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…