wisdom mapambano
Senior Member
- Jul 17, 2018
- 141
- 205
Mungu anasema Vitu Vingi vitabadilika.
Katika uchaguzi Mkuu unaokuja.
Maana watu wengi wamelia kuhusu maisha yao na Hatima za watoto wao , hapa imeangaziwa hali ya maisha ya watu, kiuchumi na mambo mengine kiujumla.
Raisi atashinda atatoka Upinzani watu watakubali kuongozwa nae.
Kwa kuwa huu ni Unabii na si maneno yangu mimi kama mchaji wa Mungu naundika kama ulivyo
Leo tar 25/3/2025.
💪🏾🙏🏾
Mungu anasisitiza tena Raisi atatoka upinzani Anasema wapende au wasipende mabadiliko yatatokea tu.
4/20/2025