Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

Kazi kweli kweli, yani mtu anazaa watoto mwenyewe halafu suala la kuwajali nalo anaanza kuona kama anapoteza, yani imefikia hatua wanaume wanaona kama kujali watoto wao ni kuwafanyia favour
Najua kinachokuumiza sio watoto, mnaumia sana mkiona kipato cha mwanaume kinatembea kwenye streams ambazo haziwagusi.

Anyway, pale mwisho jamaa alipigwa kijembe tu cha utani na mkewe, sio kwamba amekata matunzo kwa watoto wake.
 
πŸ˜†πŸ˜†Noma sana mkuu
 
ahaaa! kama uzi tayari basi sindano bado!
 
Sijawahi waza wala kufikiri swala la kuacha kuwa nadhifu na Sidhani kama nitakuja Acha kujipenda Kwa namna Yoyote Ile katika madhila Yoyote Yale.Maisha ni Mimi Kwanza,,,Hata Muumba amehimiza "Mpende jirani yako kama Unavyojipenda",,Alijua lazima ujipende/Utajipenda wewe kwanza siku zote.
 
Aiseeee umefanya la maana sana, inapendeza mwanaume kujijali, wasioijua familia yako wakikutana na wewe umechakaa wanakuchukulia poa tu....

Binafsi wangu huwa namuhimiza sana na kumkata hela anunue chochote, bila hivyo mwaka unaweza katika hajanunua chochote zaidi ya vest na soksi....

Hata safari yake ya kwanza baada ya kupata passport nilimuhimiza mimi na kumbana sana ndo akaenda...
 
Nakubaliana na wewe....
 
Hapo ushatongoza kwa njia ya kidemokrasia!
 
Wanaume wengi tuna udhaifu huu wa kujisahau kwa kuchukulia hiz vitu poa poa
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…