Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

Mabibi na Mabwana habari zenu.

Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but in real sense they are not.

Kwanza kabisa fahamu kuwa;
Ni muhimu sana kuwa makini na mambo yanayoshauriwa mitandaoni. Yapo yenye manufaa japo yana sura ya ukawaida au ubaya. Na yapo mabaya japo yanashauriwa kwa uzuri na ushawishi mkubwa.

Nirudi kwenye mada:

Mfano mimi na utu uzima wangu huu, ni mtu ambaye nimekua najali sana family kuliko hata ninavyojijali mimi.

Mimi honestly sikuwah ona kama kwangu ni muhimu sana mambo ya kuvaa na muonekano, kuliko kujali wanangu wale na wavae vizuri. Japo zamani wakati wa ujana huko nilikua najali kidogo hizi mambo but baada ya kuoa Nikawa najichukulia aah ile less than average yan, kwangu kipaumbele ni family.

Sikuajua kitu nilichokua nakipoteza, the value..

Sasa siku moja nikakutana na uzi wa mdogo angu Natafuta Ajira kuwa unapopambania familia na kuandaa future yao usijisahau na wewe pia, jipe kipaumbele kwanza πŸ˜‚.
(Nimeshindwa kukumbuka exactly jina la ule uzi).

Sasa mimi at 35 now, nikawa najichukulia aahh nishazeeka tayari haya mambo ya kujali mjonekano na mavazi ninya vijana zaid, acha nifanye mambo ya msingi zaidi.

Honestly ndio hiv karibuni nimekuja kugundua kumbe nina viatu pair 2 tu, jinsi 2 na suarual 2 tu, shati chachee hazifiki 4 na tshirt hazifiki 3 πŸ˜…πŸ˜…. Haya yote nikikua naona normal tu, hata sijali, mimi najali family...wale vizur, wavae vizuri.. punda afe mzigo ufike.

Si nikajaribu bwana huu ushauri wa bwana Natafuta Ajira πŸ˜‚πŸ˜‚. Nikajikumbuka na kujaribu kujirudisha enz zangu za 20's, every time doing simple shopping for myself, nikiingia town, nunua nguo mbili tatu kali kila napopata fursa ya kuzunguka mjini, after every sometime kuji sop sop salon, weka kichwa safi (nina uwaraza so napendeleaga kunyoa dongo/upara wa wembe), weka ndevu fresh, marashi ya hapa na pale, vitu ambavyo nilishaachaga kufanya japo vyote viko ndani ya uwezo wangu, nikawa najifanya niko busy kupambania familia.

Doohhh!! Kiukwel nimeanza ku experience huge changes, kuanzia namna watu wanavyonitzama now, wanavyonichangamkia mpaka mabinti na mishangazi age mates wangu naona like i send attraction signals to them bila kusema neno and they are trully affected tofauti na hapo kabla.

Na kubwa zaid , am feeling veery good far better that before.

Najisikia raha kabisa.

KUbwa zaid mpaka wife juzi kaamua kunipiga kijembe maana hajanizoea hivi toka tumeoana for 10 years sasa, so naohisi kavumilia mwisho kachoka, akanambia " naona mwenyewe siku hizi unapendeeeeza , huku wanao unawasahau" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nikajua hapa tayari dozi imeshakaa mahala pake....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Uzi tayari.
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ umejikumbuka hongera.
 
Nguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Ila kweli NDOA zimetengeneza maajabu mengi sanaaa...

Hela utafute wewe ila kustarehe ni wengine?

Braza ulichokiandika UMEKISOMA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sijakisoma ila nimekiandika huku nakisoma.

Nikuulze Ni sahihi kunipangia namna ya kuishi na familia yangu? Kama Mimi kuwa na nguo Moja na Bado najisikia amani Wala siwezi kitu unakereka vipi wewe mkuu?

Acheni mambo ya kike hayo ni ya wanake kwamba umesukaje umeshona mshono Gani.

Mwanaume kuanza kabisa ku discuss mavazi ni aibu kubwa mnoo.

Nguo sio kipaumbele changu. Na nunuliwaga na mzee wangu na Nina miaka37 now
 
Hakika ndoa zimetengeneza wagonjwa wa akili wengi sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hakika ndoa zimetengeneza wagonjwa wa akili wengi sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kweli kuna mwongine tunae hapa yupo kama chizi hana nguo yeye ana vaa nguo hizo hizo na anasema kuvaa siyo kipaumbele chake na akiokota Ata elfu 10 ana mpigia simu mke wake na kuipeleka
 
Mabibi na Mabwana habari zenu.

Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but in real sense they are not.

Kwanza kabisa fahamu kuwa;
Ni muhimu sana kuwa makini na mambo yanayoshauriwa mitandaoni. Yapo yenye manufaa japo yana sura ya ukawaida au ubaya. Na yapo mabaya japo yanashauriwa kwa uzuri na ushawishi mkubwa.

Nirudi kwenye mada:

Mfano mimi na utu uzima wangu huu, ni mtu ambaye nimekua najali sana family kuliko hata ninavyojijali mimi.

Mimi honestly sikuwah ona kama kwangu ni muhimu sana mambo ya kuvaa na muonekano, kuliko kujali wanangu wale na wavae vizuri. Japo zamani wakati wa ujana huko nilikua najali kidogo hizi mambo but baada ya kuoa Nikawa najichukulia aah ile less than average yan, kwangu kipaumbele ni family.

Sikuajua kitu nilichokua nakipoteza, the value..

Sasa siku moja nikakutana na uzi wa mdogo angu Natafuta Ajira kuwa unapopambania familia na kuandaa future yao usijisahau na wewe pia, jipe kipaumbele kwanza πŸ˜‚.
(Nimeshindwa kukumbuka exactly jina la ule uzi).

Sasa mimi at 35 now, nikawa najichukulia aahh nishazeeka tayari haya mambo ya kujali mjonekano na mavazi ninya vijana zaid, acha nifanye mambo ya msingi zaidi.

Honestly ndio hiv karibuni nimekuja kugundua kumbe nina viatu pair 2 tu, jinsi 2 na suarual 2 tu, shati chachee hazifiki 4 na tshirt hazifiki 3 πŸ˜…πŸ˜…. Haya yote nikikua naona normal tu, hata sijali, mimi najali family...wale vizur, wavae vizuri.. punda afe mzigo ufike.

Si nikajaribu bwana huu ushauri wa bwana Natafuta Ajira πŸ˜‚πŸ˜‚. Nikajikumbuka na kujaribu kujirudisha enz zangu za 20's, every time doing simple shopping for myself, nikiingia town, nunua nguo mbili tatu kali kila napopata fursa ya kuzunguka mjini, after every sometime kuji sop sop salon, weka kichwa safi (nina uwaraza so napendeleaga kunyoa dongo/upara wa wembe), weka ndevu fresh, marashi ya hapa na pale, vitu ambavyo nilishaachaga kufanya japo vyote viko ndani ya uwezo wangu, nikawa najifanya niko busy kupambania familia.

Doohhh!! Kiukwel nimeanza ku experience huge changes, kuanzia namna watu wanavyonitzama now, wanavyonichangamkia mpaka mabinti na mishangazi age mates wangu naona like i send attraction signals to them bila kusema neno and they are trully affected tofauti na hapo kabla.

Na kubwa zaid , am feeling veery good far better that before.

Najisikia raha kabisa.

KUbwa zaid mpaka wife juzi kaamua kunipiga kijembe maana hajanizoea hivi toka tumeoana for 10 years sasa, so naohisi kavumilia mwisho kachoka, akanambia " naona mwenyewe siku hizi unapendeeeeza , huku wanao unawasahau" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nikajua hapa tayari dozi imeshakaa mahala pake....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Uzi tayari.
Sawa ,Natafuta ajira alikuwa sahihi sana,Mimi kwa Sasa Nina umri wa miaka 54,Nilipata changamoto kazini,Ikaisha,Rafiki yangu mmoja tukiwa kazini alinipa ushauri, wewe nunua tuu nguo wake,viatu weka zitakusaidia baadae!Kweli nilinunua nguo nyingi , zingine over size,mwaka wa 15sijanunua nguo ni kupunguza tuu hayo manguo,Jamaa mtaani wanasema jamanii anajipenda kwa nguo, kumbe ni za miaka zilikuwa ndani kwenye kabati.
 
Kazi kweli kweli, yani mtu anazaa watoto mwenyewe halafu suala la kuwajali nalo anaanza kuona kama anapoteza, yani imefikia hatua wanaume wanaona kama kujali watoto wao ni kuwafanyia favour
Mtoa mada, ameonyesha alivyowekeza kwa familia zaidi mpaka akajisahau mwenyewe . Ilisemwa mpende jirani yako kama nafsi yako, yeye akazidisha kwa kuipenda familia kuliko nafasi yake.
 
Back
Top Bottom