Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Uanaume sio uchafu unaofanya wewe ni uchafu Wala sio uanaumeNguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Mimi pamoja na miaka yangu hii 37 nguo huwa nanunuliwa na baba yangu. muda mwingine naomba kabisaa
Hivyo nami nafanya kama baba anavyofanya kwangu nanunulia sana watoto wangu na mke wangu.
mzee hana kazi na kila mwisho wa mwezi lazima nimtumie300k hadi 500k kama kuna bonus. akiipata tu lazima akanunue nguo aniletee au atume.