Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

Kazi kweli kweli, yani mtu anazaa watoto mwenyewe halafu suala la kuwajali nalo anaanza kuona kama anapoteza, yani imefikia hatua wanaume wanaona kama kujali watoto wao ni kuwafanyia favour
Wanawake akili yenu ni kuwamanipulate wanaume kwa akili zenu kama hzi...oooh tafuta hela, oooh matunzo,ooh mwanaume atakula kwa jasho, ooh gentleman na nyoko zingine..... we umeona wapi jamaa kaona anapoteza kujali watoto wake???......kuamua na yeye kujijali ndo unaona nongwa
 
Ulichokifanya wewe ndicho anachokifanya Msigwa sasa hivi, unaamua kusupport ujinga uliolua ukiupuuza mwanzo kwa sababu zisizo na msingi.
Sikia, Ukiteka attention ya watu watakuja maishani mwako amini hawatoondoka bure.
Soon utaanza kuona pesa uliyoitumia kuwafurahisha mkeo na watoto sasa unaitumia kwa malaya na kuwapa offer wana na wapiga vizinga wengine.
Sawa basic needs kwa familia utaprovide lakin kasi yako ya maendeleo itadumaa kidogo kwa maana umeamua kua mtu wa kuzingatia watu nje ya familia yako.

Hili umekula tango poli la jf.
 
Za kuambiwa changanya na zako
 
Ahahahahah. Nami nimemuuliza hilo swali akatoka nduki
 
Hata ukifa hao wanaokutegemea wataendelea kuishi na ukifirisika pia itakuwa hivyo hivyo! (Labda familia yako) Muda fulani tunajipa stress Kwa mambo ambayo nature tayari imeshaamua.
Furahia maisha uwe na afya njema uzeeni.Tafsiri ya utimamu sio kujipa stress na mizigo.
 
Mi kila tukinuniana na Mama watoto Hasira zangu naamishia mwilini mwangu nitanunua marashi ya bei mbaya pamba za kufa Mtu mpaka utamsikia mama watoto anaanza 'Naona demu wako amekwambia unyoe hivyo'Najua tayari dokta anakamua dawa sndano Takoni.
 
Sawa. Ahsante kwa ushauri.
 
Ukijupenda sana lazima wife atoe milio ila jua kuwa ule uzi hata mimi niliufuata.
Imagine account inaweza kuwa na balance zaidi ya M ila nilikua na pair moja ya kiatu. Ila familia niliiweka mbele sana
 
Ndio maana at 35 kama ni mtu timamu hauwez kukuta anafukuzana na mademu au fashion.
We jamaa ni kwamba sijakuelewa au?

Nyie ndio wale ambao "Kwenye kabati kumejaa nguo za wake zenu halafu wewe una ka sehemu kimoja kwenye shelf kina jinzi mbili tuu""

Mzee JIKUMBUKE, Kufa ni MARA MOJA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.

Mimi pamoja na miaka yangu hii 37 nguo huwa nanunuliwa na baba yangu. muda mwingine naomba kabisaa
Hivyo nami nafanya kama baba anavyofanya kwangu nanunulia sana watoto wangu na mke wangu.

mzee hana kazi na kila mwisho wa mwezi lazima nimtumie300k hadi 500k kama kuna bonus. akiipata tu lazima akanunue nguo aniletee au atume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…