Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Uanaume sio uchafu unaofanya wewe ni uchafu Wala sio uanaumeNguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Mimi pamoja na miaka yangu hii 37 nguo huwa nanunuliwa na baba yangu. muda mwingine naomba kabisaa
Hivyo nami nafanya kama baba anavyofanya kwangu nanunulia sana watoto wangu na mke wangu.
mzee hana kazi na kila mwisho wa mwezi lazima nimtumie300k hadi 500k kama kuna bonus. akiipata tu lazima akanunue nguo aniletee au atume.
Sawa SuzyUanaume sio uchafu unaofanya wewe ni uchafu Wala sio uanaume
Ahahahah sawa chief, hongera kwa huu utaratibu chiefNguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Mimi pamoja na miaka yangu hii 37 nguo huwa nanunuliwa na baba yangu. muda mwingine naomba kabisaa
Hivyo nami nafanya kama baba anavyofanya kwangu nanunulia sana watoto wangu na mke wangu.
mzee hana kazi na kila mwisho wa mwezi lazima nimtumie300k hadi 500k kama kuna bonus. akiipata tu lazima akanunue nguo aniletee au atume.
Exactly, hiki na mimi ndio ninakiongelea. Kumbe tuko wengi. Cheers mkuu..Ukijupenda sana lazima wife atoe milio ila jua kuwa ule uzi hata mimi niliufuata.
Imagine account inaweza kuwa na balance zaidi ya M ila nilikua na pair moja ya kiatu. Ila familia niliiweka mbele sana
Inawezekana kweli usiwe mchafu, ila kwa nguo pair 2 ni ngumu sana kuwa nadhifu, maana nguo hiz zinakua zinafuliwa mara kwa mara, na kama unafua kawaida sio kwa dry cleaning, uwezekano wa nguo kuchakaa haraka ni mkubwa.Mimi niwe mkweli nina nguo pea mbili na viatu pea mbili huu mwaka 1 umekata sasa
ila sijawahi kuwa mchafu kutokana na nature ya kazi yangu.
bajeti kubwa ipo kwenye misosi na ganja tu!
Muhim sana mzeeTujipende
Hili nitalianza week ijayo mkuu. Must. Na nitarudi na mrejeshoSasa anza na mazoezi.
Push ups 200 tu kila siku kwa mwezi mfululizo halafu rudi hapa
When you are 35, priority inakuwa kuboresha muhimu vikutegemeavyo na vinavyokuzunguka vilivyo muhimu kwa ajili ya maisha yako (family, wazAzi, kazi yako, kujenga, afya, etc)
Ndio maana at 35 kama ni mtu timamu hauwez kukuta anafukuzana na mademu au fashion.
Trust me hii ni mindset yetu vijana wengi sana tulio kwenye ndoa ambao bado sio matajiri, japo tuna maisha mazuri tu ya kuweza kumudu hiz vitu bila shida, wengi sana tunapuuzia huu utaratibuNa vipi kuhusu Gardner (Apumzike kwa amani) he was 50 years old but fashion kwa sana mchek "Kinje kigungemtoto"
Ana miaka 50 na zaidi wewe 35 unajiona mzee
Trust me hii ni mindset yetu vijana wengi sana tulio kwenye ndoa ambao bado sio matajiri, japo tuna maisha mazuri tu ya kuweza kumudu hiz vitu bila shida, wengi sana tunapuuzia huu utaratibu
Ahahah ni mindset tu katika kuhalalisha vitu flan unajipachika status flan ili ku justify kile unafanya 😅Miaka 35r unajiita mzee? Kweli kua uyaone...
Ahahah..sio tu ndoa miaka 10, first born yuko form 2 with 14 yrs old.😂😂Na una ndoa miaka 10? Mnakimbilia wapi vijana?
Wewe kwa hiyo mindset yako ipo kwa ajili ya kuringishiana vitu eeh....kwamba unafanya maendeleo ili uonekane kwa watu ukatambe, kwa akili yako hiyo hiyo unahisi mwenzio akivaa vizuri anawaringishia watu wengine🤔🤔Nguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Mimi pamoja na miaka yangu hii 37 nguo huwa nanunuliwa na baba yangu. muda mwingine naomba kabisaa
Hivyo nami nafanya kama baba anavyofanya kwangu nanunulia sana watoto wangu na mke wangu.
mzee hana kazi na kila mwisho wa mwezi lazima nimtumie300k hadi 500k kama kuna bonus. akiipata tu lazima akanunue nguo aniletee au atume.
hayo ni ya kwako yote.Wewe kwa hiyo mindset yako ipo kwa ajili ya kuringishiana vitu eeh....kwamba unafanya maendeleo ili uonekane kwa watu ukatambe, kwa akili yako hiyo hiyo unahisi mwenzio akivaa vizuri anawaringishia watu wengine🤔🤔
Nafikiri hujanielewa sawa sawa nduguWewe kwa hiyo mindset yako ipo kwa ajili ya kuringishiana vitu eeh....kwamba unafanya maendeleo ili uonekane kwa watu ukatambe, kwa akili yako hiyo hiyo unahisi mwenzio akivaa vizuri anawaringishia watu wengine🤔🤔
Ahahahah.. kabisaa mkuu, kaniwekea kabisa maneno yake wala sio yanguhayo ni ya kwako yote.
Kiukwel kwasasa soko limetapika vitu feki mnooo ni kana kwamba serikali haipo. Ukishawapa dorminace wachine kwenye market zetu hiz za kiafrika bas haya ndio huwa matokeoKinachonifanya nishindwe kununua nguo mpya ni bongo kwa sasa kumejaa makanjanja sana hao Wakinga na Wachagha wameleta mizigo mibovu mnoo kama pale Kariakoo hamna kitu tofauti na zamani early 2000s,unanunua sarawali 35K ikifuliwa mara mbili mara ya tatu huirudii imeshakuwa kitu cha ajabu.
Viatu na sandals kuna jamaa ananiuzia mtumba grade one naomba anayejua hapa Dar panapouzwa cadet na jeans nzuri bei isizidi 40K aweke location nikajaribu,brand zikiwa Dockers au Viccobs itakuwa vizuri zaidi.
Pamoja chiefHapo imekaa safi. Nakuunga mkono