Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ umejikumbuka hongera.
 
Nguo zote hizi unataka kufungua duka mkuu?
Mwanaume halisi hatulingishiani nguo bali maendeleo yako. Kikubwa usito tako nje tu.
Hizo pigo za nguo waachie wanawake.
Ila kweli NDOA zimetengeneza maajabu mengi sanaaa...

Hela utafute wewe ila kustarehe ni wengine?

Braza ulichokiandika UMEKISOMA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ila kweli NDOA zimetengeneza maajabu mengi sanaaa...

Hela utafute wewe ila kustarehe ni wengine?

Braza ulichokiandika UMEKISOMA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sijakisoma ila nimekiandika huku nakisoma.

Nikuulze Ni sahihi kunipangia namna ya kuishi na familia yangu? Kama Mimi kuwa na nguo Moja na Bado najisikia amani Wala siwezi kitu unakereka vipi wewe mkuu?

Acheni mambo ya kike hayo ni ya wanake kwamba umesukaje umeshona mshono Gani.

Mwanaume kuanza kabisa ku discuss mavazi ni aibu kubwa mnoo.

Nguo sio kipaumbele changu. Na nunuliwaga na mzee wangu na Nina miaka37 now
 
Hakika ndoa zimetengeneza wagonjwa wa akili wengi sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hakika ndoa zimetengeneza wagonjwa wa akili wengi sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kweli kuna mwongine tunae hapa yupo kama chizi hana nguo yeye ana vaa nguo hizo hizo na anasema kuvaa siyo kipaumbele chake na akiokota Ata elfu 10 ana mpigia simu mke wake na kuipeleka
 
Sawa ,Natafuta ajira alikuwa sahihi sana,Mimi kwa Sasa Nina umri wa miaka 54,Nilipata changamoto kazini,Ikaisha,Rafiki yangu mmoja tukiwa kazini alinipa ushauri, wewe nunua tuu nguo wake,viatu weka zitakusaidia baadae!Kweli nilinunua nguo nyingi , zingine over size,mwaka wa 15sijanunua nguo ni kupunguza tuu hayo manguo,Jamaa mtaani wanasema jamanii anajipenda kwa nguo, kumbe ni za miaka zilikuwa ndani kwenye kabati.
 
Kazi kweli kweli, yani mtu anazaa watoto mwenyewe halafu suala la kuwajali nalo anaanza kuona kama anapoteza, yani imefikia hatua wanaume wanaona kama kujali watoto wao ni kuwafanyia favour
Mtoa mada, ameonyesha alivyowekeza kwa familia zaidi mpaka akajisahau mwenyewe . Ilisemwa mpende jirani yako kama nafsi yako, yeye akazidisha kwa kuipenda familia kuliko nafasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…