Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

Baadhi ya watu wasio na hela hudhani matajiri sio wazinzi na hawapendi ngono. Sasa kwa taarifa yako maskini hana uwezo wowote wa kuwa mzinzi zaidi ya tajiri.

Huwezi muona Dangote kafumaniwa sababu sio mjinga, sifa kuu ya tajiri ni kutokuwa mjinga awe amesoma au hajasoma. Dangote ana mademu Marekani na kwingineko, katoa taraka mara mbili kashaoa wake watatu au wanne. Anakwepa kuwa na michepuko Nigeria.

Matajiri ndio wanaenda kwenye orgies, threesomes na ndio wengine wana sexual trafficking kama kesi ya Epstein. Muuza mihogo atolee wapi hizo mambo.
 
Nipe ushahidi ya kwamba zinaa iko karibu na unasikini.
Zinaa usambaza roho za mikosi na laana
Umasikini ni laana.
Afanyae ngono hovyo mwenye pesa mpe miaka mitano kachek hali yake kama bado anazo hizo pesa au hio kazi.
Ukiona ana pesa na anafanya sana ngono wengi huwa ni pesa za kichawi anakuwa ametoa kafara mbegu zake au utumia ngono kuiba nyota za watu,mfano wale wasanii wakubwa wasiotaka kuoa
 
Nakuunga mkono mtoa mada kwenye baadhi ya pointi, ila umetudhalilisha sana sisi matajiri kuwa hatupendi ngono.
Hivi wale wasanii na wadada wanaojiita classic wanaliwa na masikini?
 
Masikini ndio ufanya sana ngono kuliko matajiri kwa sababu wana mda mwingi wa kupoteza.
Ukiwa bize na maisha huwezi waza ngono au kuchepuka
 
Wazinzi wengi ni matajiri wa kati.
 
Binafsi NIPENDE kukushukuru kwa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…