Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

Masikini ndio ufanya sana ngono kuliko matajiri kwa sababu wana mda mwingi wa kupoteza.
Ukiwa bize na maisha huwezi waza ngono au kuchepuka
Maskini hawafanyi sana ngono sababu utongoza na kuzunguka sana, utakiwa kushawishi na kutesekea penzi na hawana hela nyingi ya kuzinia. Tajiri ni simu moja tu na hela demu huyu hapa.

Nina rafiki yangu agemate ananizidi hela, yupo abroad for some weeks anarudi soon. Uko ameishaandaa booking ya mademu watatu, mmoja kashalipia air ticket kutoka mkoani, mwingine anamfuata mkoani mwenyewe na mwingine yupo jijini. Hao sio mademu zake wote, na bado kuna atakaochukua akifika na bado ana mademu zake.

Huyo rafiki yangu ananizidi mtaji, uzoefu na connection. Na wala mimi kutokuwa mzinzi hakuniongezei competitive advantage kwake. Na wala uzinzi haumpotezei muda.

Kwanza tajiri gani hana muda? Maskini anaishi Chanika asipofanya kazi hali, anaamka saa kumi kuwahi foleni ndani anarudi saa nne usiku, ndio huyo ana muda mwingi wa uzinzi? Wakati tajiri ana wafanyakazi anaweza amua wiki nzima hatokei kazini na mambo yakaenda.
 
Kabisa tajiri anauwezo wa kuwa mzinzi/kupata demu muda wowote na mamb yake yanaenda sisi pangu pakavu demu akiomba 20 tunalia wehee..
 
Ngono ufanyika zaidi uswahilini kuliko sehemu zenye kipato Kwan madanguro yote si yapo uswahilini,vijjini guest ni vichaka na mashamba ya watu usiku,nyumba za kupanga wapangaji wote ulana
 
Ngono ukwepe vipi sasa wakati naturally ni part ya mwili wako, mke mmoja hadi apatikane, testing lazima ufanye si chini ya 20, ndio unaoa mmoja, but ngono inategemea unatoa kiasi gani, kuna dada poa bei standard tu una plan kwa mwezi ila sio kufanya ngono na celebrities hawafai, wanajifanya expensive for nothing..!!
 
Perfect...shukrani
 
Niliwahi kusomq shule ya Secondary iliyokuwa katikati ya jiji. Usiku mamia ya wanawake wanajiuza wateja wao wakubwa ni wamachinga, na masikini baada ya kazi nzito.

Pia mfano mzuri ulioutoa huyo tunamuita tajiri wa kati au kuuelekea. Hilo ndilo kundi linaloongoza kwa ngono,
 
Hiyo namba 4 ni mimi kabisa! Yaani hela kidogo akili haitulii kabisa. Zikiisha ndio akili inarudi back to normal
 
KO kwa kufanya tu hayo mambo manne, na tena bila kufanya kazi kwa bidii nakuwa na iman unakuwa MO???. Ahsante mkuu wacha niwe tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…