Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

4. Namba nne ni sahihi sana, kwenye maisha ukisha fahamu kuwa huwezi kumaliza matamanio yako yote na kila unapotimiza moja linakuja lingine. Utaanza kuishi kwa nidhamu, humble, utaridhika na kuongeza juhudi zaidi.

Tafuta watu maskini na wasio na kesho… kila siku watukuwa wanashindana simu nzuri, nguo mpya, kutembea na mashangazi, yaani discussions zao ni vitu pity
 
Ulitegemea kumuoana Tajiri mkubwa, Mbnge au Wziri ananunua DEM barabarani duuuh. Tafuta job description ya " Chawa " ...
 
Ulitegemea kumuoana Tajiri mkubwa, Mbnge au Wziri ananunua DEM barabarani duuuh. Tafuta job description ya " Chawa " ...
Wanasiasa sio matajiri, labda wale matajiri walioingia kwenye siasa ili kuweka grisi kwenye michongo yao.
.Hawa wengine lolote wanafanya, maana pesa za posho na ujanjaujanja haziumi sana. Wanaweza kuexport mchepuko wakafanyia mambo yao hata dubai.
Hanq cha kupoteza
 
Mimi naeza withdraw pesa zote kuanzia Bank mpaka kwa simu kisha nikaenda nazo K.koo, Mliman na maeneo yote ya shopping na nikarud na pesa zote isipokua nauli tu, Kama sijapanga sinunui hata iwaje ila ukweli pesa zangu nakula sana japo sinenepi, nifanyaje?
 
Kwenye ngono pia
Pesa haikai kwa mtu ambae anakutana na watu wengi kimwili
Haipendi uchafu wa zinaaa
Hivi hiyo pesa ni kitu gan kwamba kina utambuz na uchaguz kias iko? Habar gan kwa Mfalme Suleiman?

Mzee wangu alikua na wake 8 wa ndoa na Michepuko isiyo na idadi lakin wanae wote mpaka leo hakuna aliemfikia pesa licha ya kua na mke mmoja mmoja na wengine kukataa ndoa kabisa, mfano mimi hata demu sina ila na ukwasi sina🤣
 
Suleiman moja ya majuto yake ni hao wakina mama. Maana aliambiwa watamgeuza moyo aka mindset.
 
Pesa bwana ni kama mavi tu hayana hiyari ya kukupata hivyo acheni methali na vinubi hapa ,gongesha glasi tu ikiwa ipo basi itakuwepo tu ila kama haipo haipo tu .

Ahsante baba
 

Bill Gates na Jeff Bezos wote walidivorce na sababu ni uzinzi for both pamoja na mabilioni yao ya $$$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…