Duuuh hii muvi sio ya kuangalia kama mambo yenyewe ndio hayo 😁Mkuu ukibahatika tazama movie inaitwa shut em up. Hii jamaa alimzalisha mwanamke wakati mwanamke huyo ana windwa kuuliwa majambazi wamezunguka wakati mapambano yakiendelea jamaa akakosa wembe akaamua kitovu cha mtoto kukikata kwa risasi,
Nyingine alikuwa anakula papuchi majambazi wakavamia alipambana nao huku dushe lipo ndani na mwanamke anaguna tu ana mbadili mitindo mbalimbali hadi maadui wakaisha na yeye akamwaga wachina..
Kuna uongo humo japo inafurahisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sterling anajificha kwenye baiskel risasi zisimpate..ila adui akijificha kwenye gari risasi inampata
Namba 3 naona kama sijaelewa
Hapo kwenye jet li kupigana na majambazi 6 huku wakija kwa zamuzamu kidogo naweza kutetea... wajuzi wa ngumi nadhani watanisahihisha kama nakosea
Ni kwamba mkiwa wengi mkashambulia kwa pamoja kuna hatari ya kuzidiwa kiwango na wote mkawa defeated kwa pamoja kuliko akienda mmoja mmoja ambapo atapambana kwa weledi na kumchosha adui ili anapokuja mwingine akute jamaa kadebweda. Hatahivyo uongo wao unabaki palepale kwakuwa pamoja na kuja mmoja mmoja bado jamaa ndo kwanza nguvu inaongezeka maradufu na anawamaliza wote
Namba 2 hata me mwenyewe huwa nashangaa sana maana karibia muvi zote utakuta pambano la ngumi huku chombo kiko na mwendo hasa za kihindi. Unakuta eti pambano kali kabisa huku wako kwenye mwendo mkali katika sehemu ya nje ya chombo kama boti jet pikipiki gari au treni tena kwenye msongamano kabisa eti. Jambo hili ukitaka kujua haliwezekani fanya tu majaribio hata wewe mwenyewe
Hiyo ya mtu muovu lazima afe bwana imezoeleka sana kwamba "Stelingi hauawi" ila kinachoniacha hoi stelingi wa picha za zamani lazima aanze kuchezea kichapo cha maana yeye kwanza. Picha za kisasa nazo stelingi yeye anaadhibu wenzake tangu picha inaanza mpaka kuisha hutaona akidondoshwa chini wala kujeruhiwa kidole wala kupigwa hata kibao
Pia hapo kwenye stelingi hauawi huwa nacheka eti anagongwa risasi 16 anapona wakati yeye akiwashoot majambazi hata risasi moja ya mguu tu jambazi chali anakufa
Uongo mwingine kupita yote ni kupambana na polisi waliojihami na silaha na kuwashinda wote
Pia kuna ile ya kushtukia bomu pahala likiwa limebakiza sekunde chache sana kulipuka na kufanikiwa kukwepa madhara ya bomu hilo ndani ya sekunde hizohizo chache. Maranyingi unakuta eti staa mpaka anafanikiwa kuzuia/kukata waya/kutegua basi ilikuwa imebaki sekunde 1 tu kama angechelewa bomu lingelipuka
Ile ya wananchi hawawezi kujitetea mbele ya wahalifu hata kwa wingi wao mpaka aje mtu/watu fulani ambao ndio tegemeo lao aje awakomboe
Kuna vile unamkimbia adui yako mara unakutana nae mbele halafu yeye hakimbii wala nini
Pia mtu anapigwa teke/ngumi hadi mguu/mkono unavunjika. Haiishii hapo bado huyo mtu anafunga sehemu hiyo kwa shati yake na anaendelea kupambana na (huenda) akashinda
Jon Snow hakufa 😀Kusema kwamba mastar hua hawafi itakua hujaona Game of Throne mkuu..unawez kufa kwa presha. Kila sterling huko anadedi hadi yule nyota pendwa kabisa anakufa hafu majambazi wanadunda tu
-For the watch
View attachment 1625938
Hahahahaaa... Mkuu wahindi ndo waongo kinoma...yelewiii...Hizi nazo ni wale wale tu mtu anaruka kutoka chini hadi ghorofa ya pili au anatembea kwenye ukuta kama mjusi hapo kuna ukweli gani? Ila bora hizi kuliko za wahindi [emoji23][emoji23]
Na ile star anaweza kufa kisha azaliwe tena au kufufukaMaadui akipigwa hata risasi au panga la mguuni anakufa ila staring anaweza pigwa risasi hata 100 na hafi.
mambo ya JOHN WICKMaadui akipigwa hata risasi au panga la mguuni anakufa ila staring anaweza pigwa risasi hata 100 na hafi.
Mkuu hii sio kweli mbona movie ya will smith nilimuona mpaka mwisho wala hakufa mniga yuleHii pia nimeiona sana. Yaani imefika mahali nikiona mwafrika kwenye muvi najua tu huyu atakufa mda si mrefu [emoji3]
Nishaiona ule jamaa anamwaga shaba anapiga mkono risas na mkono nao unafyatua risasMkuu ukibahatika tazama movie inaitwa shut em up. Hii jamaa alimzalisha mwanamke wakati mwanamke huyo ana windwa kuuliwa majambazi wamezunguka wakati mapambano yakiendelea jamaa akakosa wembe akaamua kitovu cha mtoto kukikata kwa risasi,
Nyingine alikuwa anakula papuchi majambazi wakavamia alipambana nao huku dushe lipo ndani na mwanamke anaguna tu ana mbadili mitindo mbalimbali hadi maadui wakaisha na yeye akamwaga wachina..
Kuna uongo humo japo inafurahisha
Mtabisha sn lkn huu ndio ukwel wazungu kabla hawajatunga movie yyote lazima kuna watu wakae chin watunhe stpr au wachukue real story wailete kwenye movieWengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.
1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.
2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.
3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! 😆 saa hiyo wanakua wameshatoka nje.
4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.
5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.
6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi 😂
Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
Ukitaka movie ya ukweli angalia porn tu(x)Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.
1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.
2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.
3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! [emoji38] saa hiyo wanakua wameshatoka nje.
4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.
5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.
6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi [emoji23]
Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
Hii pia nimeiona sana. Yaani imefika mahali nikiona mwafrika kwenye muvi najua tu huyu atakufa mda si mrefu [emoji3]
Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi [emoji1787]
Ha-ha-ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Movies za kibongo mtu anazikwa na Sanda anafufuka na jersey ya arsenal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni afadhali za wazungu ,,mimi niliangalia bongo movie . eti jini anakimbia baada yakukoswa kugongwa na gari[emoji1][emoji1]5.kuwasha gari hata baba yangu anaweza.anaunga moto halafu ana uunga ule wa starter.