Vituko jikoni, Let us share and have fun

Vituko jikoni, Let us share and have fun

Ugali mbichi nimepika sana na kuumwaga kabla mama hajaona.Kuna kipindi nlisema ngoja njifunze kupika sambusa.

Picha inaanza,shatengeneza manda zangu,kuifunga itokee pembe tatu ulikua mtihani.Nikajifariji nkasema ata nikifunga shape yoyote ingredients ndo zitaniiambia hii ni sambusa.Nimemaliza kufunga kila nkizitia kwenye mafuta zinafunguka.Dah nlichoka nkaambulia chache.Mafuta yakijaa nyama na viungo vingine.

Juzi Kati,nkajisemea leo sitaki hasara napika za viazi mbatata.Nkaandaa manda kama kawaida.Kila nikifunga lile limanda linakatika vipande vipande.Dah na kwenyewe nkaambulia chache.Naona kupika sambusa tena ndo bye bye.
 
Mie pamoja na kupika kwangu kote...sambusa sijawahi kupika. Nanunua tu.

Ila kuna watu ni wana uzoefu nazo sana....upate mtu akufungie wewe uchome tu.
 
Sina hamu na kuboronga mapishi[emoji23]
Kilichonipata siku napika keki,tena keki inayotakiwa iliwe kwenye hafla ndogo.
Wakati wa kuandaa nilizidisha blue band aisee ile keki tulipika usiku kucha inachemka tu bila kukauka [emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bwana weee
Mara ya kwanza najifunza kupika keki
Nilijua unaoka kwenye jiko lolote
Sinika pikia jiko la mafuta ya taa
Chini inaungua juu haiivi
Ilikuwa kama chapati nzito
Nikijaribu kuigeuza inagoma bwana nilinyanyua sufuria haraka kuimwaga mara nakutana na bro naulizwa nin hicho kinafuka moshi nilibaki na kigugumizi ilibid aanze kucheka sio kwa kigugumiz kile

Mara ya pili nikajaribu tena si nikatia amira🤣🤣🤣 sijui nilikuwa nawaza nin
Safar hii nilipikia jiko la mkaa
Nikozangu ndani nasiki kitu kimedondoka
Kufika nakuta keki inakitambi na mfuniko wenye mkaa umedondoka
Daaa nikasema nin hiki nimesha haribu
Nikachukua mwiko kuitoboa mwee ndani kuna shimo kubwa kama handaki 🤣🤣🤣 looh
Sikukoma kujifunza
Mpaka nimeweza kupika keki vizur
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana weee
Mara ya kwanza najifunza kupika keki
Nilijua unaoka kwenye jiko lolote
Sinika pikia jiko la mafuta ya taa
Chini inaungua juu haiivi
Ilikuwa kama chapati nzito
Nikijaribu kuigeuza inagoma bwana nilinyanyua sufuria haraka kuimwaga mara nakutana na bro naulizwa nin hicho kinafuka moshi nilibaki na kigugumizi ilibid aanze kucheka sio kwa kigugumiz kile

Mara ya pili nikajaribu tena si nikatia amira[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nilikuwa nawaza nin
Safar hii nilipikia jiko la mkaa
Nikozangu ndani nasiki kitu kimedondoka
Kufika nakuta keki inakitambi na mfuniko wenye mkaa umedondoka
Daaa nikasema nin hiki nimesha haribu
Nikachukua mwiko kuitoboa mwee ndani kuna shimo kubwa kama handaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] looh
Sikukoma kujifunza
Mpaka nimeweza kupika keki vizur
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hongera kwa kuweza

Mimi tangu siku hiyo niliachana kabisa na habari za keki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hongera kwa kuweza

Mimi tangu siku hiyo niliachana kabisa na habari za keki.
Hahahah asante
kadri unavyojaribu ndivyo unavyozidikupata ujuzi nakurekebisha pale ulipokosea mwanzo
Sio mbaya ukajaribu tena
 
Niliachwa home siku moja nika waambia wakirudi watakuta ubwabwa na maharage shatashata, mambo yakawa mengi ratiba zikaingiliana hadi saa moja jioni sijafanya chochote.
Mungu mkubwa hakuna ambaye alikua amesharudi home, nika nunua mkaa nika bandika maharage nikawasha feni kuelekeza jikoni ili yaive faster.
Huku kwenye mchele nikatumia gesi!! sasa nilipo haribu niliweka madoido, nikataka kuweka carrot kama wanawake wanavyoweka weee...ulikua wa brown 😀 😀
Huku kwenye mchele nikatumia gesi!! sasa nilipo haribu niliweka madoido, nikataka kuweka carrot kama wanawake wanavyoweka weee...ulikua wa brown [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana weee
Mara ya kwanza najifunza kupika keki
Nilijua unaoka kwenye jiko lolote
Sinika pikia jiko la mafuta ya taa
Chini inaungua juu haiivi
Ilikuwa kama chapati nzito
Nikijaribu kuigeuza inagoma bwana nilinyanyua sufuria haraka kuimwaga mara nakutana na bro naulizwa nin hicho kinafuka moshi nilibaki na kigugumizi ilibid aanze kucheka sio kwa kigugumiz kile

Mara ya pili nikajaribu tena si nikatia amira[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nilikuwa nawaza nin
Safar hii nilipikia jiko la mkaa
Nikozangu ndani nasiki kitu kimedondoka
Kufika nakuta keki inakitambi na mfuniko wenye mkaa umedondoka
Daaa nikasema nin hiki nimesha haribu
Nikachukua mwiko kuitoboa mwee ndani kuna shimo kubwa kama handaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] looh
Sikukoma kujifunza
Mpaka nimeweza kupika keki vizur
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kama mpumbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom