mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Ugali mbichi nimepika sana na kuumwaga kabla mama hajaona.Kuna kipindi nlisema ngoja njifunze kupika sambusa.
Picha inaanza,shatengeneza manda zangu,kuifunga itokee pembe tatu ulikua mtihani.Nikajifariji nkasema ata nikifunga shape yoyote ingredients ndo zitaniiambia hii ni sambusa.Nimemaliza kufunga kila nkizitia kwenye mafuta zinafunguka.Dah nlichoka nkaambulia chache.Mafuta yakijaa nyama na viungo vingine.
Juzi Kati,nkajisemea leo sitaki hasara napika za viazi mbatata.Nkaandaa manda kama kawaida.Kila nikifunga lile limanda linakatika vipande vipande.Dah na kwenyewe nkaambulia chache.Naona kupika sambusa tena ndo bye bye.