Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Jumapili iliyopita tarehe 27.06.2021 alikuwa Temeke Kata 15, yalitolewa Maji ya Bluu na PILAU DAWA na wikendi hii sijui itakuwa wapi,,,,, na Shekhe yupo salama mpaka leo.....
Huyo shehe anauza maji ya blue au hebu fafanunua ueleweke,, na hayo maji alikuwa anayauza msikitini?
 
Sabato ni siku gani?
Soma luka 23:50.........,then utaelewa ni siku gani.
Kama dunia nzima tunaadhimisha Ijumaa kuu kama siku ya kufa bwana wetu yesu kristo, na jumapili kama siku ya kufufuka bwana wetu yesu Kristo, basi utajua sabato ni siku gani.

Pia ushaidi mwingine ni huu hapa wa baadhi ya dictionary.
 
Sio mbali nyumba ninayoish mimi ,mke wa mtoto wa mama mwenye nyumba akiamka asubui tu kuoga na kuvaa nguo kanisan hata chai anywi basi naangalia kisha naona ufala tu

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Kanisani, ma pastor namba wani ni sadaka, waumini wanamuomba mwenyezi mungu mpaka wana nena, wakitoka ni kutongozana na kupigana miti balaa
 
Tatizo ni Moja tu, awana elimu ,tena hata hiyo biblia awaijui kwaiyo mengi wanakaririshwa na wachungaj wao,yan chochote ukimwambia akuelew ,sema ni hao waume zao ,mimi unaondoka mchana kweupe na mabeg yako uende huko kwa pasta

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu usijumuishe kiasi hiko, nenda kwa Mwamposa J4 au J2 uone ni Waislamu kiasi gani wanaokwenda pale kununua Maji na Mafuta. Binafsi nimeshawaona wengi tu
Waislam jina awaja isoma dini ya kiislam vyema , ukiusoma uislam na kuulewa uwez yumbishwa na wapuuz kama wale , kuna siku eti Moja anaonyesha tende ,eti nimekunya hivi vitu baada ya kunywa maji ya baraka ,maji hata wew unaweza ombea ya kwako Mwenyew na yakawa tiba ,kwan yey anamuomba Mungu yup!?

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Nipo mbeya tuonane basi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sabato iliyokuwa inaadhimishwa Siku ya Saba na Wayahudi katika Torati iliishia pale Msalabani!
Waebrania 4:4-8
Ile ilikuwa kivuli cha Yesu ambaye ndiye Sabato halisi,
Wakolosai2:16-18
Sabato maana yake ni Pumziko lililofanyika siku ya Saba,siku ambayo Wayahudi waliambiwa
Kupumzika kutoka kwenye Shughuli za mikono,Kutoka20:8-10
Lakini hiyo siku ilikuwa haiwapi Pumziko la Kweli!
Katika Agano Jipya Sabato inayozungumzwa ni ya Kupumzika katika Utumwa wa Dhambi,na hii ndiyo Sabato Halisi! Na Yesu Kristo ndiye Sabato ya Kweli,Ndiye aliyekuja kutuweka Huru mbali na Utumwa wa Dhambi!(Yohana8:31-34),Ndiyo maana aliwaambia Wayahudi kuwa,Njooni Msumbukao na Mizigo nipate KUWAPUMZISHA,(Mathayo11:28-29)
Kwa sababu hiyo Sasa,kwa Kufa na Kufufuka ameiondoa Siku ya Saba,na kuitaja Siku nyingine iitwayo LEO! Maadamu Yesu Kristo ni wa Jana,na LEO hata Milele,tumwendee atupumzishe na Dhambi,Waebrania13:8
Akishatupumzisha ndiyo tunaingia Raha ile Ya Sabato MBINGUNI,Waebrania 4:9
Watu wa Mungu watakaiongia Raha ya Sabato,Ni wale tu waliomwamini Kristo kisha wakatubu Dhambi na Kuokolewa,Marko16:16-18,Matendo2:38
Kwa hiyo mpendwa toka kwenye Kongwa la Torati,Njoo kwa Yesu Kristo akuokoe ili uingie Raha ile ya Sabato Halisi.
 
Shusho kapewa talaka?
 
Ni wapi Biblia inapotaja kuwa siku ya Saba Ni jumamosi?
 
Hapa wafuasi wa Ellen G. White sijui kama watakuelewa! Umedadavua vizuri sana mkuu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] zote kali.. Kinachoniacha hoi ni nabii mzinzi akilamatwa ugoni waumini wanamlinda na kumuombea eti ni vita!
Ukiyajua haya unapata wepesi wa fikra. Nadhani Kuna haja ya kuendelea kuabudu Kwa mujibu wa Imani zetu. Hizi za kuja zimeprove failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…