Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Mmh!. Shame on U
Unajivunia kuiba zaka kanisani?!
Unakiri kuzidiwa nguvu Na ibilisi?

Ungetubia dhambi zako kuliko kuwapa mbinu vibaka nao wajaribu
Kuiba popote ni dhambi yenye uzito sawa na Watanzania 99.99 ni wezi tu sema twatofautiana mazingira, escrow, EPA, 10% ya mikataba, manunuzi kazini, ulanguzi wa kuongeza bei kwa madalali nk
 
Hata yeye ni mwizi tu kasoro tofauti ya mazingira
 
Kuiba popote ni dhambi yenye uzito sawa na Watanzania 99.99 ni wezi tu sema twatofautiana mazingira, escrow, EPA, 10% ya mikataba, manunuzi kazini, ulanguzi wa kuongeza bei kwa madalali nk
Kweli cha muhimu mm nilishatubuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…