Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Chuchu konzi
Nalikumbuka swali kwenye mafundisho yangu ya ndoa, nadhani miaka ya 80's naaa....

Niliulizwa

Unampendea nini huyu binti??

Nikakutupuka kuanza kumpamba,
Chuchu nzuri
Kibinyiko ya kubwa
Sura kama mtoto
Kigori wa mkoa wetu
Mchapa kazi
Ngozi nyororoo..

Na.......
Kabla sijamaliza aseee nilikatizwa kwa karipio kali, mpaka na mwenzangu akashtuka na wakati mwanzoni alikuwa akitabasam navotiririka aseee.


Nilikuja kuulizwa

Hivi unakula kiapo cha maisha au cha uzinzi,??

Nikajibu. Cha maisha
Hapo pia ilionekana nimekosea

Nikaomba ufafanuzi.

Nilifafanuliwa hivi....
Chuchu nzuri (chuchu konzi) kama ilivyo leo.
Je siku ukibahatika kupata mtoto/watoto wakayanyonya takalala na kuwa kama kandambili zivaliwazo na familia tatu utamwacha?? Asee hapo nilishtuka

Kibinyiko ya kubwa.
Huyu anaweza zeeka na kibinyiko ikaonekana mzigo kwani itatepeta na zingine hupotea kabisaa, je utamwacha? Nilikodoa macho usema ukweli.

Sura kama mtoto
Huyu anakua na ngozi inakomaa
Je atakapokuwa na ngozi kujikunja utamwacha?? Nilishtuka mnoo na mapigo ya moyo yakaniruka aseee

Kigori wa mkoa wetu
Inaonekana hujatembea mkoa mzima pengine nchi nzima na wala dunia nzima, ukipata nafasi hiyo ya kuzurula kila utakapo pita utapita unaoa mzuri wa mkoa?? Na je!! Ni lini umesikia mribwende wa taifa au dunia kajirudia?? Hapa nilikaa kimya kwa aibu.

Mchapa kazi
Kama ikitokea akapata ukilema na akawa mtegemezi wako katika maisha yake yooote japo hatuombei hili ukizingatia dunia hii hujafa hujaumbika utamwacha??
Nilikaa kimya kama nimefumaniwa vile.

Ngozi nyororo
Hapa nilikoswa kofi kabisaa, kwani nilikuwa kama mtoto nisiejua mabadiliko ya mwili, kipindi hicho babu na bibi walikuwepo hai bado, akaniuliza hivi ngozi ya bibi yako unaionaje?? Ni nyororo?
Nilijibu nikiinamisha kichwa kisha nikasema hapana,
Nikaulizwa tena je babu yako angeyachagua haya unayochagua leo kwa umpendae wangekuwa bado wako wote??





Baada ya mambo hayooo yoooooote nilikuja kugundua kuwa mwanamke hasa mke umvhaguaye leo ni tofauti na umuwaziayo leo.
Kuna vingi vijana wa siku hizi mnavyokosa wakati wa kuweka vigezo vya kuoa au kuolewa.


Usije ukawa wale akina dada wajivuniao maumbo na mionekano yao ya leo, wanasahau yakuwa maisha ni kama siku.

Inavipindi vinne tuu
1. Asubuhi.
2. Mchana
3. Jioni na
4. Usiku.

Kila kipindi kinamaana kubwa sana katika maisha ya binadamu awaye yeyote
 
Nimeelewa ulichokiandika ingawa nimecheka sana
 
Umeshaambiwa akiwa form 3 mwaka 201 ... Halafu unamuuliza zile not I za zamani tena???Jamani mbona unataka kumzeesha mtoto wa watu??yaani hapo nashindwa tu kumalizia kuwa 2015 akiwa form 3.
Hahahahaha aisee Demiss kuanzia kesho naomba shikamoo yangu.
hapn ni mwaka 201 bna
 
Hahaha bahati yako mimi kanisan ni shhemasi uwa ninasimamia makapu ya sadaka ....na uwo mchezo ninaujua hadi wengine wanaweka mawe.....basi mm uwa ninamkodolea mimacho kila anaekuja kutoa sadaka na wanaocheza rafu kama yakwako na kuweka mawe nilishawadaka wengi sana .....uwa ninacheza nao baada ya ibada kuisha ninawasubiria mlangon ...wengi tulishawafungia stooo ya kanisa kw8a masaaa hadi jion ndio tunawaachilia wengi awarudi wanapaona kituo cha police kanisan kwetu
 
Nimekuelewa muhenga
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe wewe ndio ulifanya ad wakaacha kutumia vikapu siku hzi yanatumika masanduku ya mbao tena yenye kitobo kidogo cha kutumbukizia noti ukiwa imeikunja....

Wale wazee wa kutoa silver kanisani tunapata shida maana ukidumbukiza lazima kanisa nzima lisikie[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Umetishaaaa
 
Hahahahah umeooonaa eeeh wanajua kama kuna wiziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…