Ngoja nikafulie mm namaji haya ya chumvUmeonaaa eeeh
Leo wacha niwape kituko kimoja ambacho mpaka leo najiuliza yawezekana nisingekuwa mama ntilie ningekuwa gereza la keko.
Dah sawa ntakuja hapo nkifika ntakuita Kwa thread ukujeee
Nashukuru kwa kusema ukweli kwamba huuu mchezo upo sana ndo maana yameletwa masanduku ya ChumaHahaha bahati yako mimi kanisan ni shhemasi uwa ninasimamia makapu ya sadaka ....na uwo mchezo ninaujua hadi wengine wanaweka mawe.....basi mm uwa ninamkodolea mimacho kila anaekuja kutoa sadaka na wanaocheza rafu kama yakwako na kuweka mawe nilishawadaka wengi sana .....uwa ninacheza nao baada ya ibada kuisha ninawasubiria mlangon ...wengi tulishawafungia stooo ya kanisa kw8a masaaa hadi jion ndio tunawaachilia wengi awarudi wanapaona kituo cha police kanisan kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha jaman ngoja wifii aone comment
Ya kale ni dhahabuMuhengaa makamo ya babu Asprin
Asanteeeee sana
Shikamoo kaka jaman weeeeh usinizeesheUmeshaambiwa akiwa form 3 mwaka 201 ... Halafu unamuuliza zile not I za zamani tena???Jamani mbona unataka kumzeesha mtoto wa watu??yaani hapo nashindwa tu kumalizia kuwa 2015 akiwa form 3.
Hahahahaha aisee Demiss kuanzia kesho naomba shikamoo yangu.
NipoNilkumiss ujueee