Vituko ndani ya JamiiForums

JF Vituko vingi sana mfano mdogo tu unaweza kuta hata hapahapa hawa wanaochangia sana Mzigua90 Ambiele Kiviele Shunie kumbe ni mtu mmoja, muhimu we changia kama mimi ukwendre..Mfano tu nimetoa jameni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweny ile ligi ya mambembe na The list,kuna mtu alisema "jf hapaaminiki,unaweza kukuta dada mambembe ndo uyo kaka The list"
 
anaitwa giLESI na uzi wake wa "Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo?" hahahahahah. Ila mods waliounganisha ID za Bujibuji hawakuwa fea kabisa. Maskini mwenyewe kajitahidi kuedit ule uzi lakini sasa shida inakuja kwa wale ambao walikomenti kwa kuquote ile thread kwa hiyo maneno ambayo ameongezea kwa mfano lile neno kwamba eti kaitoa sehemu, linaonekana kaliongezea tena kwa font tofauti, na replies zake amejitahidi kuzifuta lakini bado mambo hayajakaa vizuri. Ahsante mods kwa kufunga ule mjadala hakuna tena ku comment pale zaidi ya ku like tu. hahahahahaha. JF kuna raha sana asikwambie mtu.
 
Hahahaa mabazazi wanatusoma tu hapa

Na wengi wamebadili Id kama siyo wamekufa ama kubanwa sana na majukumu...

Aaah niacheni mie ,nna makaburi yangu yakifukuliwa mtakaa pembeni tu mnagonga viganja...
Am sorry mama mchungaji and money lady
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unaogopa na wewe kufukuliwa lako eeh
 
Hahahaa mabazazi wanatusoma tu hapa

Na wengi wamebadili Id kama siyo wamekufa ama kubanwa sana na majukumu...

Aaah niacheni mie ,nna makaburi yangu yakifukuliwa mtakaa pembeni tu mnagonga viganja...
Am sorry mama mchungaji and money lady
Jomoniiii hornet vibaya hivyo kumnyima mwenzio kitu unacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…