Vituko ndani ya JamiiForums

Yaaaani nimeeeecheka lakini ujue ni aibu sana kama unafanya ivyo af uje uumbuliwe,hivi kwa mfano akaunt ya yule wa kujisifu alilambwa na mtanga ndo igundulike ni yako mzigua haha hiv utajificha wapi?
Mama weee. Aibu hiyo nisingevumilia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf sisi wengine tukiandika za kuudhi wala hatujibu vibaya mzigua sasa akiandika hata kawaida woiiii anakoma
Itakua waliingiliana kwenye anga zao,ila mambembe alikuja kwa kasi haha sio kwa ile kasi,mwenyew anasema wiki tu nawapa presha,nikimaliza mwezi wote kimya humu
 
Naomba link basi jaman
Sasa shost mie hata sijui kuweka link, ila heading ni hapa: Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo? Ukumbe hapo kwenye "makalio" kuweka hivyo vikoma koma huko juu mbele ya t na mbele o hahahahahahaahh. Andika tu hivyo halafu u search utakuja. hahahahahhaahaha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…