Vituko ndani ya JamiiForums

Huoni ile angle mimi naona. Imagine kitu alichokifanya Hornet, it wasn't fair coz I believe kuna watu walienda kujieleza kwake and after that ni kama anakuwa kawavua nguo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kama nawaona walivyojimaliza maskin wee ndoa naiheshimiwe looh
 
Huoni ile angle mimi naona. Imagine kitu alichokifanya Hornet, it wasn't fair coz I believe kuna watu walienda kujieleza kwake and after that ni kama anakuwa kawavua nguo.
Ndo mjifunze kucontrol njaa zenu. Mbona gilesi nae kuna wanaume lazima walitaka kushika kalio mtetemo.
Sema tu pm za wanaotafuta waume/wake wengine wanafanya mchezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…