Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni mifumo imara, unakuta haohao watu wanawatoto wao wanategemea connection
 
Safi sana, tunaangusha wenyewe kwa wenyewe tu, hii nchi kuendelea ni ndoto
 
Kuna interview moja tulifanya kampuni moja hivi. Kwenye written tulikuwa kama 9 ila oral tukaitwa watu watatu. Sasa ile siku asubuhi tukiwa tunasubiri tuingie oral tukawa tunapeana mambinu kuna mwamba alikuwa mweupe sasa nikawa nampa maujanja pale jamaa akaniona genius flani.

Kwakuwa mda ulikuwa bado jamaa akaniambia twende restaurant iliyokuwa jirani tugonge supu. Akaninunulia supu pale na chapati baada ya hapo niliharisha na kutapika vibaya hata ile interview sikufanikiwa kuifanya.

Nilikuja kusikia jamaa alichukua ile nafasi. Sijui aliniwekeaga nini yule mwamba.
 
"Tunalichukua, tutalifanyia kazi" atasikika mwana JF mmoja humu.
 
Halafu TAKUKURA wanafahamu hiyo inshu yote si ndiyo?
 
Nao sio muda itakuwa itakuwa kama biashara na sheria tu.
  • Hivi unajua kuwa Registered Engineers ni Wengi sana kuliko Mawakili?
  • Hivi Unajua Engineers ni Wengi sana kuliko Certified Public Accountant (T)?
  • Registered Engineers ni Wengi Sana, hii inatokana na kuwa Hawafanyi mitihani Kama NBAA na LAW SCHOOL wanavyofanya!
 
Nikiwaambia jpm alinyoosha nchi mnanitukana ooh mi mshamba oh what what.

Siku nilipokoma kwenda interview ilikuwa hivi.

Hr alinipigia akaniambia nijiandae kesho ni interview.
Huyo nikafika .siku hiyo sikulala nilisoma hadi asubuhi.
Kufika nikakuta interviews wako 8, watu wakaingia weeee na mimi nikaingia jumla tulikuwa 15 kumbe anatakiwa mmoja tu.
Basi wakaniuliza weee nikajibu mpaka natoka nilikuwa na %90 nimejibu sahihi.

Basi wakati wa kuondoka hr akaniita akanambia , luckyline najua umetoka chuo, hujafanya interview nyingi, nilikuita upate uzoefu ili siku nyingine ukiitwa sehem uweze kuwa na uzoefu zaidi.

Akaniambia nilikuita kwa sababu hauko mbali, nauli buku.kiukweli hutopata hii kazi atapata yule binti mlofatana ni mtoto wa one of the directors, ingawa umejibu vizuri ila ndo hivo.samahahi kukusumbua najua umejifunza kitu. nilikereeeeka mpaka basi.tangu siku hiyo sikuwahi kuomba kazi tena.

Jpm alivyoingia vyeti feki wakakaa chini. Si ndo sisi wenye vyeti vyetu vilivyonyooka tukaanza kuwa na thamani.?

2019 hapa ilikuwa ni cheti tu hakuna connection wala nini. 2019 nikapa kazi nilokuwa nataka, juzi nikaomba tena mule mule, cheti chako ndo dhamana yako nimepata tena.hii ndo kazi niliitamani hata kuliko ya kwanza.
Kazi inayotaka vyeti na ufaulu wa interview ndo kazi.
Ati wanaita watu elfu 2 kumbe wanataka 20 kweli? Upuuzi.

Makarani wa sensa mpoo?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nchi ya walamba asali..na hivi sasa ndio watachomekana sana kwenye nafasi mbalimbali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…