Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

dah nasoma comments, dah kuna watu wana dhambi sana na inahuzunisha sana.

Hivi binti unajisikiaji kutoa uchi wako ili upate kazi? na wewe mwanaume unajisikiaji kumfanya mtoto wa mwenzio ili umpe kazi bila kupitia vigezo?, unajisikiaje na binti yako akifanyiwa hivyo tena analiwa tigo ili apewe kazi is that fair? INASIKITISHA SANA.

Kama umeita watu kwa ajili ya interview, ni vyema ukawafanyia usaili woote na kuchagua kulingana na vigezo sio hizi blah blah na kujuana, huu ni upumbavu na mambo ya kizamani saaana shenzi kabisa.

Halafu majitu ya hivi yanakwenda msikitini na kanisani full time.
 
Ni huzuni sana.
 
Ila sahili za chomboni Hilo kawaida sana
 
Nyie ndio ile intake ya 1972 mkuu?

Kwa sasa Tanzania kila kitu ni fake tu hata hizi teuzi ujinga ujinga mwingi
 
Hizi ndizo kazi ukisomea zinakutafuta na sio kuzitafuta huko ulimwenguni. Vijana someni hizo kozi hapo na muajirike duniani maana ndio fami zenyewe hizo.
 
Kuna haja ya serikali kuboresha mfumo wa elimu ili watu wasome vitu watakavyoweza vifanyia kazi hata kama wasipopata ajira.
Kwel chief.
Kwakifupi mimi hakuna Interview ambayo nimeshawah kuitwa second round.

Huwa naishia kwanye ile ya woteee ile ya kupiga paper 😂😂😂

Nimehangaika sana kwenye hili nikajikubali kwamba AM NOT SPECIAL FOR INTERVIEWS😁
Nishaombaga sana kazi za u developer na u system admin mpaka nikachoka then i decided to create that job for myself..
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]daaah
 
Hongera mkuu kwa kujitengenezea ajira,maana kwa hali iliyopo ni hatari na nusu.
 
interview yangu ya kwanza ilikua kwenye NGO , tulikua watu watano na walitaka watu watatu, nilikua najuana na watu watatu kati ya hao tano, na ndo tuliopita after 3 days tukapewa hadi job offer letters, wakasema watatuambia lini tukareport kazini, tulikaa miezi na miezi tukajasikia tu mbona watu washaanza kazi kitambo na hawakuepo hata kwenye interview , kazi tulioifanyia sisi interview ikaishiwa kufanywa na watu ambao hawakuepo kabisa. [emoji706][emoji706]

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo waliwapa barua za ajira kwa geresha tu kumbe walikua na majina yao mfukoni,inauma sana.
 
Wew unajijua kabisa unakwenda kweny hayo mainterview sjui maupuuzi gan alafu unaanza kujitayarisha as if umeshapata confirmation ya ajira kumbe hata usahili hujafanya[emoji23][emoji23].

Kilichokuuma ni ile furaha uliyoitanguliza badala ya uhalisia wa kuwa ungeenda huko kwenye ushindani wa kukosa ama kupata

Connection zipo muda wote na kila siku humu tunawakumbusha kama huna haya mambo
[emoji117]connection
[emoji117]uchawi
[emoji117]pesa ya rushwa

Basi kutoboa kwenye hizo ishu SAHAU yaan kiufupi fanya ishu zingine[emoji23]
 
Mwingine anapita tu🤣🤣,hata interview hafanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…